-
Iraq yaishukuru Iran kwa misaada yake muhimu kwa serikali ya Baghdad
Aug 28, 2017 10:19Balozi wa Iraq nchini Algeria ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuwa nchi ya kwanza kuwasaidia wananchi wa Iraq katika wakati mgumu hasa wakati wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh walipokaribia kuutwaa mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.
-
Maficho kadhaa ya magaidi yasambaratishwa nchini Algeria
Aug 26, 2017 22:10Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza habari ya kuangamizwa maficho kadhaa ya magaidi kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Misri yazuia misaada ya kibinadamu ya Algeria kuingia Gaza
Aug 19, 2017 10:53Serikali ya Misri imezuia misafara ya misaada ya kibinadamu ya Algeria kuingizwa katika Ukanda wa Gaza.
-
Rais wa Algeria: Dunia nzima ishikamane kung'oa mizizi ya ugaidi
Aug 19, 2017 10:21Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria ametoa wito kwa nchi zote duniani kushikamana kwa ajili ya kung'oa mizizi ya ugaidi.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria nchini Iraq, kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Aug 10, 2017 06:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria, Abdul Qader al-Masahel jana tarehe 8 Agosti aliwasili Baghdad nchini Iraq na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo.
-
Jeshi la Algeria lanasa maghala ya silaha za magaidi
Aug 05, 2017 09:01Wizara ya Ulinzi nchini Algeria imetangaza kuwa, imefanikiwa kunasa maghala kadhaa ya silaha yanayomilikiwa na magaidi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.
-
Algeria: Kamwe hatutachukua mkopo wa kigeni licha ya matatizo yetu
Jul 31, 2017 02:54Waziri Mkuu wa Algeria amesema kuwa, kuchukua mkopo wa kigeni ni mstari mwekundu wa serikali yake.
-
Mwandishi wa Algeria: Saudia ni silaha inayotumiwa na Marekani kuwahujumu Waislamu
Jul 19, 2017 12:49Mwandishi maarufu wa nchini Algeria Haddat Hizam, amesema kuwa kinyume na madai yanayotolewa, Saudia si tu kwamba haina na nafasi yoyote yenye maslahi katika eneo, bali ni nyenzo bora inayotumiwa na Marekani kuwalenga Waislamu.
-
Mauritania yayatangaza maeneo yanayopakana na Algeria kuwa ya kijeshi
Jul 15, 2017 02:39Wizara ya Ulinzi ya Mauritania imeyatangaza maeneo ya mpaka wa kaskazini mwa nchi hiyo ambayo yanapakana na Algeria kuwa maeneo ya kijeshi na kwa msingi huo imewataka raia kutokaribia maeneo hayo.
-
Algeria: Mitandao ya magendo ya binaadamu inatishia usalama wa nchi zote za Afrika
Jul 11, 2017 03:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa, mitandao ya magendo ya binaadamu inatishia usalama na amani ya nchi zote duniani.