Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Araqchi

  • Araghchi: Nchi za Kiislamu ziwajibike kupinga kukiukwa mamlaka ya kujitawala Iran

    Araghchi: Nchi za Kiislamu ziwajibike kupinga kukiukwa mamlaka ya kujitawala Iran

    Sep 08, 2026 11:09

    Katika mazungumzo ya simu na Katibu Mkuu Mpya wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amessitiza umuhimu wa nchi za Kiislamu kuwajibika ipasavyo kupinga kukiukwa mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi nzima ya Iran na wakati huo huo kukabiliana na matumizi ya nguvu na hujuma za uvamizi.

  • Araqchi: Iran ilifanikiwa katika nyanja zote mbili, yaani vita na diplomasia dhidi ya uchokozi wa Marekani na Israel

    Araqchi: Iran ilifanikiwa katika nyanja zote mbili, yaani vita na diplomasia dhidi ya uchokozi wa Marekani na Israel

    Aug 11, 2026 11:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi ameeleza kuwa Tehran imepata ushindi katika nyanja zote mbili za kijeshi na kidiplomasia katika uchokozi wa hivi karibuni wa Marekani na Israel katika vita vya siku 12 na kusisitiza kuwa muqawama wa Iran uliwalazimisha maadui kuomba kufanya mazungumzo.

  • Maafisa wa muqawama wafanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran pambizoni mwa mazishi ya Kiongozi Shahidi Khamenei

    Maafisa wa muqawama wafanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran pambizoni mwa mazishi ya Kiongozi Shahidi Khamenei

    Jul 05, 2026 11:10

    Maafisa kutoka harakati ya muqawama wamekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi, na kuwasilisha salamu za rambirambi kufuatia kuuawa shahidi Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei katika mashambulizi ya kigaidi a Marekani na Israel dhidi ya Iran Februari 28 mwaka huu.

  • Araqchi: Iran haitaki vita, lakini iko tayari kuendelea kujilinda ikilazimu

    Araqchi: Iran haitaki vita, lakini iko tayari kuendelea kujilinda ikilazimu

    Jun 05, 2026 03:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema Iran haitaki vita, lakini iko tayari kuendelea kujilinda inapobidi.

  • Araghchi: UAE ni “mshirika hai” katika uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran

    Araghchi: UAE ni “mshirika hai” katika uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran

    May 15, 2026 06:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, ameikosoa vikali Falme za Kiarabu (UAE) kwa kuwa mshirika wa moja kwa moja katika uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran. Ametoa kauli hiyo akijibu madai yasiyo na msingi yaliyotolewa na mwakilishi wa UAE.

  • Araghchi: Wairani hawapigi magoti mbele ya mashinikizo

    Araghchi: Wairani hawapigi magoti mbele ya mashinikizo

    May 09, 2026 09:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, ameonya kuwa Marekani hukimbilia hatua za kijeshi za kiholela hasa pale suluhisho la kidiplomasia linapoonekana kuwa karibu, huku akisisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitasalimu amri kamwe mbele ya mashinikizo.

  • Araqchi amwambia Guterres: Simamisheni uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran

    Araqchi amwambia Guterres: Simamisheni uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran

    Mar 17, 2026 08:43

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Matatizo ya usafirishaji wa meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz ni matokeo ya vita vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel, na kila nchi au shirika la kimataifa linalojali amani na usalama lazima lilaani uhalifu wa tawala hizo mbili na kutoa wito wa kukomeshwa uchokozi wao wa kijeshi dhidi ya taifa la Iran."

  • Araqchi: Yoyote anayeendeleza vita atakwama kwenye kinamasi

    Araqchi: Yoyote anayeendeleza vita atakwama kwenye kinamasi

    Mar 06, 2026 09:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mahojiano yake na mwandishi habari Tom Llamas wa televisheni ya NBC kwamba: Serikali ya Marekani inahusika kikamilifu na umwagaji damu unaoshuhudiwa hivi sasa.

  • Araghchi: Marekani itapata majuto makubwa kwa kuizamisha manowari ya Iran ya Dena

    Araghchi: Marekani itapata majuto makubwa kwa kuizamisha manowari ya Iran ya Dena

    Mar 05, 2026 03:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ametoa mjibizo kwa hatua ya jeshi la kigaidi la Marekani ya kuilenga na kuigharikisha manowari ndogo ya Dena na kusisitiza kwamba, Washington itapata majuto makubwa kwa kuanzisha mwenendo huo.

  • Araghchi: Iran na US zinapiga hatua 'karibu zaidi kufikia mwafaka' katika baadhi ya masuala

    Araghchi: Iran na US zinapiga hatua 'karibu zaidi kufikia mwafaka' katika baadhi ya masuala

    Feb 27, 2026 00:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema duru ya karibuni ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana na Marekani iliyofanyika jana mjini Geneva, Uswisi ilikuwa moja ya mazungumzo bora, mazito zaidi, na marefu zaidi kuwahi kufanyika hadi sasa, na kwamba Tehran na Washington zimepiga hatua za "karibu zaidi kufikia mwafaka" katika baadhi ya masuala.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS