-
Israel imewatia nguvuni Wapalestina 420 mwezi Februari
Mar 06, 2017 04:02Ripoti mpya zinaonyesha kuwa askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewatia nguvuni na kuwaweka kizuizini Wapalestina 420 katika kipindi cha mwezi mmoja tu uliopita wa Februari ukiwa ni muendelezo wa ukandamizaji unaofanywa na utawala huo katika ardhi unazozikalia kwa mabavu za Palestina.
-
Askari wa Israel aliyeua Mpalestina afungwa miezi 18
Feb 21, 2017 14:27Askari wa jeshi katili la utawala haramu wa Israel aliyemuua kwa kumfyatuliwa risasi raia wa Palestina, amehukumiwa kifungo cha miezi 18 pekee jela.
-
Hujuma ya anga ya Israel huko Gaza yaua, kujeruhi Wapalestina 7
Feb 09, 2017 07:13Kwa akali Wapalestina wawili wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya watano wakijeruhiwa baada ya ndege ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutekeleza hujuma ya anga katika mji wa Rafah, Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Jinai za kila upande za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina
Oct 22, 2016 07:16Jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina haziishii katika medani ya vita tu au katika uga wa masuala ya kijamii, bali jinai hizo zimepanuka na kufika hata katika mfumo wa kimahakama wa utawala huo ghasibu ambapo kutolewa hukumu za kidhulma na zisizo za kiadilifu dhidi ya Wapalestina ni mlolongo mwingine wa jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Wazayuni wamuua shahidi kijana Mpalestina Quds Tukufu
Sep 05, 2016 07:26Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi wa Kipalestina katika Quds Tukufu (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na kumuua shahidi kijana Mpalestina.
-
Israel yazidisha ukatili dhidi ya Wapalestina kwa himaya ya Marekani
Jul 04, 2016 07:51Ripoti za hivi karibuni zinaonesha kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umezidisha ukandamizaji na ukatili dhidi ya watu wanaoendelea kukandamizwa wa Palestina.
-
Familia: Israel inazuia miili ya Wapalestina wanaowaua
Jun 23, 2016 08:03Familia za Wapalestina waliouawa shahidi na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano kuutaka utawala wa Tel Aviv kuwapa miili ya wapendwa wao huku wakitaja sera hiyo ya kuzuia miili kuwa 'jinai na mateso kwa walio hai na waliokufa'.
-
Wazayuni wazidi kuwateka nyara wanawake na wasichana wa Kipalestina
Jun 13, 2016 14:52Tangu ilipoanza Intifadha ya Quds mwanzoni mwa mwezi Oktoba 2015 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshawateka nyara makumi ya wanawake na washichana wa Kipalestina.
-
Jeshi la Israel lamuua shahidi mwanamke wa Palestina
Jun 02, 2016 14:51Askari wa jeshi katili la utawala haramu wa Israel wamemuua shahidi mwanamke wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hii leo.
-
Wapalestina waandamana Ukanda wa Gaza kulaani mzingiro wa Israel
May 08, 2016 13:07Mamia ya wananchi wa Palestina wameingia mabarabarani kufanya maandamano ya kulaani mzingiro wa kibaguzi wa takriban mwongo mmoja uliowekwa na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.