-
Israel kutekeleza njama mpya ili kuwaacha bila makazi Wapalestina 1550 wa Baitul Muqaddas
Mar 20, 2021 03:41Vyombo vya habari vya nchi za Kiarabu vimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeandaa mpango wa kubomoa nyuma zaidi ya 100 za Wapalestina katika mji unaoukalia kwa mabavu wa Baitul Muqaddas na kuwaacha Wapalestina wapatao 1550 bila mahali pa kuishi.
-
Yemen itaendelea kuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Dec 28, 2020 08:13Mjumbe mmoja wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, nchi hiyo ni miongoni mwa nchi zilizoko mstari wa mbele katika ukombozi wa Quds na Kibla cha Kwanza cha Waislamu
-
Jordan yasisitiza kuiunga mkono Quds na Palestina
Dec 18, 2020 12:01Mfalme wa Jordan amesisitiza kuiunga mkono nchi huru ya Palestina ambayo mji wake mkuu utakuwa Quds Tukufu.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Quds ni mstari wetu mwekundu
Dec 16, 2020 07:40Mamlaka ya Ndani ya Palestina imesema kuwa Quds na matukufu yake ni mstari mwekundu wa Wapalestina.
-
Israel yapanga kwa siri na Saudia namna ya kuwatwisha Wapalestina "Muamala wa Karne"
Jun 01, 2020 09:51Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limeripoti kuwa, kumefanyika mazungumzo ya siri baina ya viongozi wa Israel na Saudi Arabia kuhusu kupewa Wasaudia usimamiaji wa maeneo matukufu ya mji wa Baytul Muqaddas kama sehemu ya utekelezaji wa mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne na kukabiliana na ushawishi wa Uturuki.
-
Jumanne tarehe 17 Machi 2020
Mar 17, 2020 01:42Leo ni Jumanne tarehe 22 Rajab 1441 Hijria inayosadifiana na tarehe 17 Machi mwaka 2020.
-
Alkhamisi, tarehe 11 Julai, 2019
Jul 11, 2019 03:57leo ni Alkhamisi tarehe 8 Dhulqaada 1440 Hijria sawa na tarehe 11 Julai 2019.
-
Jumapili, tarehe 17 Machi, 2019
Mar 17, 2019 07:39Leo ni Jumapili tarehe 10 Rajab 1440 Hijiri, sawa na tarehe 17 Machi 2019 Miladia.
-
Mwaka 2019 na kujiondoka Marekani na Israel katika shirika la UNESCO
Jan 09, 2019 08:48Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel tarehe Mosi mwezi huu wa Januari 2019 zilijiondoa rasmi katika Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) zikilalamikia kile kilichotajwa ni mwelekeo wa jumuiya hiyo dhidi ya Israel.
-
Jumatano, 11 Julai, 2018
Jul 11, 2018 04:06Leo ni Jumatano tarehe 27 Shawwal 1439 Hijria sawa na Julai 11, 2018.