-
Azma ya nchi za eneo la Ziwa Chad ya kuliangamiza kundi la Boko Haram
Mar 16, 2018 10:52Nchi za eneo la Ziwa Chad pamoja na Benin zimetangaza kuwa zimedhamiria kwa dhati kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram.
-
Nigeria kuzungumza na Boko Haram kuhusu kuachiwa huru wasichana 110 waliotekwa
Mar 12, 2018 23:37Serikali ya Nigeria imesema inapanga kufanya mazungumzo na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram juu ya kuachiwa huru makumi ya wasichana wa shule waliotekwa na wanamgambo hao mwezi uliopita.
-
Boko Haram yaua raia 10 katika shambulizi la kigaidi nchini Nigeria
Mar 07, 2018 22:11Habari kutoka Nigeria zimeripoti kwamba kwa akali raia 10 wameuawa na wanamgambo wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram katika mashambulizi matatu tofauti, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Makumi ya wasichana watoweka Yobo baada ya shambulizi la Boko Haram
Feb 21, 2018 11:01Zaidi ya wasichana 90 wa shule wanahofiwa kutoweka baada ya kundi la kigaidi la Boko Haram kushambulia kijiji kimoja cha kaskazini mashariki mwa jimbo la Yobo nchini Nigeria.
-
Jeshi la Nigeria lashindwa kumkamata kinara Boko Haram
Feb 20, 2018 12:06Vikosi vya jeshi la Nigeria vimeshindwa kumkamata kiongozi wa kundi la magaidi wakufurishaji la Boko Haram, Abubakar Shekau katika oparesheni maalumu iliyofanyika hivi karibuni.
-
Nigeria yawaachia huru mamia ya washukiwa wa Boko Haram
Feb 18, 2018 23:35Serikali ya Nigeria imewaachia huru mamia ya watu waliokuwa wakishukiwa kuwa wananchama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram kwa ukosefu wa ushahidi katika kesi zilizokuwa zikiwaandama.
-
Watu 18 wauawa katika shambulizi la kigaidi Maiduguri
Feb 17, 2018 04:44Magaidi watatu waliokuwa wamejifunga mabomu wameua watu wasiopungua 18 katika mji wa Maiduguri ulioko kaskazini mashariki mwa Nigeria ambao ni makao makuu ya jimbo la Borno lililoathiriwa zaidi na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Kiongozi wa Boko Haram asema amechoka na anatamani kufa
Feb 08, 2018 10:24Katika kile kinachoonekana ni kupoteza matumaini na kuhisi kufikwa na maji shingoni, kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, Abubakar Shekau amesema amechoshwa na misukosuko na anatamani kufa.
-
Video ya kundi la Boko Haram yawaonyesha baadhi ya mabinti waliotekwa nyara na kundi hilo
Jan 15, 2018 11:14Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram lenye makao yake nchini Nigeria leo limedai kutoa mkanda wa video ukiwaonyesha baadhi ya mabinti waliosalia mikononi mwa kundi hilo ambao walitekwa nyara katika mji wa Chibok kaskazini mashariki mwa Nigeria mwaka 2014.
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulio jipya la Boko Haram nchini Cameroon
Jan 11, 2018 12:26Duru za kiusalama nchini Cameroon zimetangaza habari ya kutokea shambulizi jipya la genge la kigaidi la Boko Haram kaskazini mwa nchi hiyo.