Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Boko Haram

  • Baraza la Usalama la UN lasisitiza mapambano dhidi ya Boko Haram

    Baraza la Usalama la UN lasisitiza mapambano dhidi ya Boko Haram

    Mar 08, 2017 03:20

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesisitiza kuwa njia ya kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram ni kustawisha eneo la Ziwa Chad.

  • Rais Issoufou: Zaidi ya wanachama 100 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Niger

    Rais Issoufou: Zaidi ya wanachama 100 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Niger

    Mar 07, 2017 01:18

    Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram, wamejisalimisha kwa jeshi la Niger, katika eneo la Diffa kusini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Wakimbizi waandamana nchini Nigeria kulalamikia mazingira magumu

    Wakimbizi waandamana nchini Nigeria kulalamikia mazingira magumu

    Mar 06, 2017 10:26

    Wanawake wakimbizi wa Nigeria wamefanya maandamano wakati wawakilishi wa baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa walipokuwa wanatembelea kambi yao ya wakimbizi.

  • Niger yachelea athari za kijamii na kiuchumi za mashambulizi ya Boko Haram

    Niger yachelea athari za kijamii na kiuchumi za mashambulizi ya Boko Haram

    Mar 05, 2017 12:35

    Rais wa Niger amesema ana wasiwasi wa athari hasi za mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram kwa hali ya kijamii na kiuchumi ya nchi hiyo.

  • Ripoti: Maelfu ya raia wamekuwa wakimbizi kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Ripoti: Maelfu ya raia wamekuwa wakimbizi kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Mar 02, 2017 04:19

    Maelfu ya raia katika vijiji vya kaskazini mashariki mwa Nigeria wamelazimika kuwa wakimbizi wakihofia hujuma na mashambulio ya kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Kudhoofika nguvu ya magaidi nchini Nigeria

    Kudhoofika nguvu ya magaidi nchini Nigeria

    Feb 22, 2017 04:41

    Waziri wa Ulinzi wa Nigeria amesema kuwa kundi la Boko Haram limedhoofika baada ya kuundwa kikosi cha kijeshi cha pamoja cha mataifa kadhaa cha kupambana na hujuma za kundi hilo.

  • 11 wauawa katika makabiliano baina ya jeshi la Nigeria na Boko Haram

    11 wauawa katika makabiliano baina ya jeshi la Nigeria na Boko Haram

    Feb 17, 2017 10:57

    Kwa akali watu 11 wameuawa katika makabiliano kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram mapema leo katika mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi mwa Nigeria.

  • Jeshi la Nigeria lazidi kusonga mbele katika ngome za kundi la Boko Haram

    Jeshi la Nigeria lazidi kusonga mbele katika ngome za kundi la Boko Haram

    Feb 03, 2017 00:18

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limeendelea kusonga mbele na kupata mafanikio makubwa katika operesheni zake dhidi ya kundi la kigaidi la wanamgambo wa Boko Haram.

  • Boko Haram washambulia na kuua askari watatu mashariki mwa Nigeria

    Boko Haram washambulia na kuua askari watatu mashariki mwa Nigeria

    Jan 29, 2017 04:24

    Askari watatu wa jeshi la Nigeria wameuawa katika shambulio jipya lililofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika eneo moja kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Russia: Tutatoa msaada wa kijeshi kwa Cameroon kukabiliana na Boko Haram

    Russia: Tutatoa msaada wa kijeshi kwa Cameroon kukabiliana na Boko Haram

    Jan 29, 2017 00:22

    Serikali ya Russia imesisitizia udharura wa kuungwa mkono kijeshi juhudi za serikali ya Cameroon kwa ajili ya kupambana na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS