-
Jumanne, tarehe Pili Julai, 2024
Jul 02, 2024 00:38Leo ni Jumanne tarehe 25 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1445 Hijria sawa na tarehe Pili Julai 2024.
-
Brazil yamrejesha nyumbani balozi wake wa Israel kulalamikia jinai za Gaza
May 30, 2024 03:35Brazil imemrejesha nyumbani balozi wake wa Israel kulalamikia mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza, ambayo yamepelekea Wapalestina zaidi ya 36,100 kuuawa shahidi tangu Oktoba, 2023.
-
Polisi ya Brazil yamshtaki rais wa zamani Bolsonaro kwa kughushi cheti cha chanjo ya COVID
Mar 20, 2024 08:02Polisi ya Brazil imependekeza rais wa zamani wa nchi hiyo Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa kughushi cheti chake cha chanjo ya COVID.
-
Rais wa Brazil ataka kuundwa nchi huru ya Palestina
Mar 06, 2024 08:12Rais Lula da Silva wa Brazil kwa mara nyingine tena ametangaza himaya na uungaji mkono wake kkwa taifa la Palestina na kusisitiza juu ya kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Rais wa Brazil: Kinachofanywa na Wazayuni huko Ghaza ni mauaji ya umati
Feb 24, 2024 02:49Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil amesema kuwa, kinachofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ni mauaji ya umati.
-
Brazil yamuita nyumbani balozi wake wa Israel, mzozo watokota
Feb 20, 2024 09:22Serikali ya Brazil imemrejesha nyumbani balozi wake wa Israel, huku mzozo wa kidiplomasia ukiendelea kutokota baina ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini na Tel Aviv.
-
Rais wa Brazil: Umoja wa Mataifa uwe na ushujaa kuhakikisha nchi ya Palestina inaundwa
Oct 28, 2023 23:30Rais Lula da Silva wa Brazil amesema, Umoja wa Mataifa lazima uwe na ushujaa wa kuhakikisha inaundwa nchi ya Palestina.
-
Kikao kisichokuwa na natija cha Baraza la Usalama: Marekani yapinga usitishaji mapigano Gaza
Oct 19, 2023 07:20Jumatano, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilikataa tena azimio la kusitisha mapigano huko Gaza kufuatia upinzani wa Marekani. Marekani ilipinga azimio lililopendekezwa kwa Baraza la Usalama na Brazil, lililotaka kusitishwa mapigano ili kufikishwa misaada ya kibinadamu Ghaza.
-
Alkhamisi tarehe 7 Septemba 2023
Sep 06, 2023 23:09Leo ni َAlkhamisi tarehe 21 Mfunguo Tano Safar 1445 Hijria sawa na tarehe 7 Septemba 2023.
-
Rais wa Brazil atoa mwito tena wa kufanyiwa mageuzi Baraza la Usalama la UN
Aug 27, 2023 09:42Rais Luis Inacio Lula da Silva wa Brazil amerudia tena wito wake wa kufanyiwa mageuzi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.