-
Bunge la Somalia labatilisha hoja ya kutokuwa na imani na Rais
Dec 12, 2018 07:41Bunge la Somalia limebatilisha hoja iliyowasilishwa na baadhi ya wabunge waliotaka kupigiwa kura ya kutokuwa na imani na Rais wa nchi hiyo, Mohammed Abdullahi Farmajo.
-
Hashdu sh-Sha'abi yafichua njama za Marekani za kutaka kushambulia ngome zake Iraq
Nov 26, 2018 04:34Harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq kupitia mbunge mmoja wa nchi hiyo imeeleza kwamba, Marekani inapanga njama za kutekeleza shambulizi dhidi ya ngome na wapiganaji wake.
-
Bunge la Burundi laitisha kikao cha dharura kutathmini sheria + Sauti
Nov 16, 2018 06:09Bunge la Burundi lilikutana jana Alkhamisi, Novemba 15, 2018 katika kikao cha dharura cha kutathmini sheria ya kuimarisha ushirikiano wa kiusalama katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.
-
Bunge la Iraq lataka kutimuliwa nchini humo askari wa Marekani
Nov 11, 2018 13:32Mwanasiasa wa ngazi za juu wa Iraq amesema Bunge la nchi hiyo linatazamiwa kujadili hoja ya kuondoka kikamilifu wanajeshi wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu huku Baghdad ikiituhumu Washington kuwa inaingilia masuala yake ya ndani.
-
Wabunge wa Kuwait wapinga nchi yao kuwa na uhusiano na utawala haramu wa Israel
Oct 29, 2018 04:36Wawakilishi wa Bunge la Kuwait wamepinga vikali hatua yoyote ya nchi yao ya kutaka kuwa na uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Ethiopia yapata rais wa kwanza mwanamke
Oct 25, 2018 13:55Bunge la Ethiopia limemuidhinisha mwandiplomasia wa kimataifa, Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Kuanza kazi bunge la tano la Afrika; matatizo na malengo yaliyopo mbele yake
Oct 24, 2018 12:18Kikao cha kwanza cha kawaida cha bunge la tano la Umoja wa Afrika (AU) kimeanza katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali, lengo likiwa ni kufanya marekebisho ya miundo ya kiutawala na kidemokrasia na vilevile kurahisisha mahusiano ya kibiashara baina ya nchi za bara hilo.
-
Rais Shein afungua maonyesho ya utalii Zanzibar ya mwaka 2018
Oct 17, 2018 15:14Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa, maonyesho ya utalii yanayofanyika Zanzibar ni muhimu kwa Serikali na wananchi kwa kuwa yamelenga kuitangaza Zanzibar na sekta ya utalii ambayo ndio mhimili mkuu wa uchumi wa visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi.
-
Korea mbili zakubaliana kufanya kikao cha kwanza cha bunge la pamoja
Sep 28, 2018 04:16Serikali za Korea Kusini na Korea Kaskazini zimekubaliana kufanya kikao cha kwanza cha bunge la pamoja mwaka huu.
-
Sheria ya kura ya maoni kuhusu katiba ya Libya yapasishwa
Sep 14, 2018 15:27Bunge la Libya lenye makao yake mashariki mwa nchi limefanya kikao cha dharura na kupasisha suala la kufanyika kura ya maoni kuhusu katiba ya nchi hiyo.