-
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania alionya Bunge
Apr 03, 2019 14:56Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Tanzania, Profesa Mussa Juma Assad ametahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya hatua ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kupasisha azimio la kutofanya kazi naye.
-
Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel
Mar 15, 2019 07:21Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan imetoa wito wa kufukuzwa balozi wa Israel mjini Amman, kurejeshwa nyumbani balozi wa Jordan huko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kufutwa mkataba wa gesi na Israel.
-
Wabunge wa Iran wakusanya sahihi kumsihi Zarif asijiuzulu
Feb 27, 2019 08:00Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wameanza kukusanya sahihi kwa shabaha ya kumuomba Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran aghairi msimamo wake wa kujiuzulu.
-
Bunge la Sudan lasimamisha mpango wa kurefusha uongozi wa Rais Bashir
Feb 17, 2019 08:06Kamati ya Bunge la Sudan iliyotwikwa jukumu la kuifanyia marekebisho katiba kwa lengo la kurefusha uongozi wa Rais Omar al-Bashir wa nchi hiyo imesimamisha mpango huo.
-
Larijani: Uchaguzi Iran ni hazina muhimu ya demokrasia ya kidini
Feb 06, 2019 02:43Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameutaja uchaguzi hapa nchini kama hazina muhimu ya demokrasia ya kidini.
-
Bunge la Misri lajadili hoja ya kuondoa kikomo cha muhula wa rais
Feb 05, 2019 15:49Bunge la Misri leo Jumanne limeanza kujadili hoja ya kuondoa kikomo cha muhula wa rais, hatua ambayo huenda ikamruhusu Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo agombee zaidi ya mihula miwili iliyoruhusiwa na katiba.
-
Iraq yaionya Israel: Msifikirie kabisa kushambulia ardhi yetu
Jan 28, 2019 02:44Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq ametoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na kuuonya usifikirie kabisa kushambulia ardhi ya nchi hiyo.
-
Vyama vinavyomuunga mkono Kabila vyanyakua viti vingi vya Bunge la Kongo DR
Jan 12, 2019 07:50Vyama vya siasa vinavyomuunga mkono rais anayeondoka madarakani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila vimenyakua viti vingi katika uchaguzi wa Bunge.
-
Bunge la Palestina laamua kwa wingi wa kura: Mahmoud Abbas amepoteza sifa za kuwa Rais
Jan 09, 2019 17:00Bunge la Palestina limepitisha kwa wingi wa kura ripoti ya kamati ya kisiasa ya bunge hilo kuhusu kupoteza Mahmoud Abbas, sifa za kisiasa za kuendelea kuwa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Hamas yalaani azma ya Abbas ya kulivunja Bunge la Palestina
Dec 23, 2018 07:17Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekosoa vikali mpango wa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahoud Abbas wa kulivunja Bunge, ikisisitiza kuwa kitendo hicho hakitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kushadidisha migawanyiko miongoni mwa makundi ya Palestina.