-
Iran yalaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu Burkina Faso
Sep 08, 2023 04:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi lililouwa makumi ya watu nchini Burkina Faso.
-
Burkina Faso yasimamisha matangazo ya kanali ya LCI ya Ufaransa
Jul 01, 2023 06:23Serikali ya Burkina Faso imesimamisha kwa muda matangazo ya kanali ya habari ya Kifaransa ya LCI kwa madai ya kutangaza habari za uwongo na upotoshaji.
-
Iran yaendelea kusisitizia uhusiano mzuri na nchi za bara la Afrika
May 09, 2023 00:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Burkina Faso wamekutana na kujadiliana njia mbalimbali za kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika nyuga tofauti.
-
Makumi ya wanajeshi wa Burkina Faso wauawa katika shambulizi mashariki mwa nchi
Apr 28, 2023 03:41Wanajeshi 33 wa jeshi la Burkina Faso waliuawa jana baada ya wanamgambo wenye silaha kuvamia kituo cha jeshi mashariki mwa nchi hiyo.
-
Burkina Faso yawafukuza wanahabari wa magazeti ya Ufaransa
Apr 02, 2023 23:52Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imewatimua nchini humo maripota wa magazeti ya Ufaransa ya 'Le Monde' na 'Libération' huo ukiwa ni muendelezo wa hatua za nchi hiyo Afrika Magharibi za kukabiliana na vyombo vya habari vya nchi hiyo ya Ulaya.
-
Burkina Faso yashika nafasi ya 2 duniani kwa kuathiriwa na ugaidi
Mar 28, 2023 22:43Ripoti mpya ya Fahirisi ya Ugaidi Duniani 2023 inaeleza kuwa idadi ya wahanga wa mashambulizi ya kigaidi katika eneo la Sahel Afrika imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 2,000 katika kipindi cha miaka 15 iliyopita.
-
Burkina Faso yaifungia 'France 24' baada ya mahojiano na al-Qaeda
Mar 27, 2023 22:50Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesimamisha matangazo ya kanali ya televisheni ya Ufaransa ya France 24, baada ya chombo hicho kurusha hewani mahojiano kiliyoyafanya na kiongozi wa kundi la kigaidi la al-Qaeda tawi la Kaskazini mwa Afrika AQIM.
-
Burkina Faso yatangaza 'kafyu' ili kuzima hujuma za kigaidi
Mar 06, 2023 03:26Burkina Faso imeyaweka maeneo ya Kaskazini na sehemu ya katikati ya Mashariki mwa nchi chini ya amri ya kutotoka nje nyakati za usiku, ili kupiga jeki juhudi za kupambana na harakati na mashambulizi ya makundi ya kigaidi.
-
Burkina Faso yavunja rasmi makubaliano ya kijeshi ya 1961 na Ufaransa
Mar 02, 2023 09:39Burkina Faso imevunja rasmi makubaliano ya kijeshi iliyosaini na Ufaransa mwaka 1961, wiki chache baada ya kumtaka mkoloni wake huyo wa zamani kuondoa vikosi vyake na balozi wake nchini humo.
-
Baada ya kutimuliwa Ufaransa, magaidi 160 waangamizwa Burkina Faso
Feb 21, 2023 04:01Magaidi wasipoungua 160 wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Burkina Faso katika eneo la Sahel, wakati huu ambapo mabaki ya askari vamizi wa Ufaransa wanaendelea kuondoka nchini humo.