-
UN: Thuluthi moja ya Warundi wanahitaji misaada ya kibinadamu
Feb 21, 2018 04:10Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesema mtu mmoja kwa kila raia watatu wa Burundi atahitaji misaada ya kibinadamu mwaka huu, hilo likiwa ni ongezeko la asilimia 20 ikilinganishwa na mwaka jana 2017.
-
SAUTI, Serikali ya Burundi yapiga marufuku kuwanyanya raia kwa kutumia zoezi la uandikishaji majina ya wapiga kura
Feb 16, 2018 01:18Huku zoezi la uandikishaji majina ya wapiga kura katika daftari la kudumu la wapiga kura nchini Burundi likikaribia kumalizika, baadhi ya ripoti zinaarifu kuwepo vitendo vilivyo kinyume na sharia kuhusiana na zoezi hilo.
-
SAUTI, Uandikishaji majina ya wapigakura Burundi ili kushiriki kura ya maoni 2020 utakaomsafishia njia Rais Nkurunziza waanza
Feb 08, 2018 12:10Nchini Burundi, leo kumezinduliwa zoezi la uorodheshaji wa majina ya wapiga kura katika daftari la kudumu kuelekea kura ya maoni hapo baadaye.
-
SAUTI, Serikali ya Burundi yaanza kuwaondosha ombaomba mitaani, nao waitaka serikali iwape pesa ya kujikimu
Feb 06, 2018 12:25Serikali ya Burundi kupitia Wizara ya Mshikamano Kitaifa, imeanzisha zowezi la kuwaondowa watoto wa barabarani maarufu kama ombaomba katika dhamira ya kumaliza tatizo hilo.
-
Wapinzani wa serikali ya Burundi wakutana kuunganisha nguvu zao
Jan 30, 2018 13:18Wapinzani wa serikali ya Burundi walioko nje ya nchi wameanzisha jitihada za kuunda kambi na muungano dhidi ya serikali ya Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo.
-
Raia elfu 7 wa Kongo wakimbilia Burundi ndani ya siku tatu
Jan 27, 2018 04:07Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia nchi jirani ya Burundi kwenda kutafuta hifadhi katika kipindi cha siku tatu zilizopita.
-
Jumapili, Disemba 31, 2017
Dec 31, 2017 00:09Leo ni Jumapili tarehe 12 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1439 Hijria, mwafaka na tarehe 31 Disemba 2017 Miladia.
-
Burundi yatoa mwito wa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na Iran
Dec 17, 2017 04:32Mkuu wa Jumuiya ya Biashara na Viwanda ya Burundi ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa kibiashara wa nchi hiyo ya Kiafrika na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi afungua mashindano ya baskeli ya Afrika Mashariki na Kati
Dec 12, 2017 04:49Jumuiya ya Afrika Mashariki imeandaa mashindano ya baskeli nchini Burundi yaliyitishwa kamaishara ya amani nchini humo. Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ambaye pia ni mshiriki wa mashindano hayo ndiye aliyeyazindua. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi:
-
Wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania wanakabiliwa na hali mbaya: UNHCR
Dec 01, 2017 12:59Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wanaishi katikia hali mbaya kwenye kambi za wakimbizi nchini Tanzania kwa sababu ya uhaba wa fedha. hayo yamesemwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.