-
Serikali ya Burundi yataka kufanya mazungumzo na Rwanda
Feb 20, 2016 09:43Serikali ya Burundi imewatolea wito viongozi wa Rwanda kufanya mazungumzo na kuhitihimisha hitilafu zilizojitokeza kati ya nchi mbili hizo.
-
Burundi: Tuko tayari kuzungumza na Rwanda kumaliza tofauti zetu
Feb 20, 2016 04:44Serikali ya Burundi imetangaza azma yake ya kufanya mazungumzo na Rwanda kwa lengo la kuhitimisha mivutano iliyozuka kati ya pande mbili tangu miezi kadhaa iliyopita.
-
Matatizo ya wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania
Feb 18, 2016 21:57Karibu wakimbizi 130,000 kutoka Burundi wameingia Tanzania kufuatia mgogoro unaoendelea ndani ya nchi yao.
-
Paspoti za kielektroniki kuzinduliwa Afrika Mashariki
Feb 17, 2016 03:55Raia wa Nchi za Afrika Mashariki wataanza kutumia paspoti za kielektroniki ambazo zitatumika kurahisisha usafiri kwa wananchi wa eneo hilo.
-
Kuendelea mivutano baina ya Burundi na Rwanda
Feb 15, 2016 02:53Wafuasi wa serikali ya Burundi wamefanya maandamano katika kulalamikia uingiliaji wa Rwanda wa masuala yao ya ndani. Washiriki wa maandamano hayo yaliyojiri siku ya Jumamosi na katika maeneo 119 ya Burundi walalamikia kile walichokiita kuwa ni uvamizi wa Rwanda na rais wake Paul Kagame dhidi ya nchi yao.
-
Askari wa Burundi watimuliwa CAR kutokana na jinai
Feb 12, 2016 23:53Askari watatu wa kulinda amani wa Burundi walioko Jamhuri ya Afrika ya Kati wametimuliwa baada ya kushukiwa kuwa walihusika na ukiukaji wa haki za bainadamu katika ghasia za kisiasa zinazoendelea katika nchi yao.
-
Askari wa Burundi watimuliwa CAR kutokana na jinai
Feb 12, 2016 12:20Askari watatu wa kulinda amani wa Burundi walioko Jamhuri ya Afrika ya Kati wametimuliwa baada ya kushukiwa kuwa walihusika na ukiukaji wa haki za bainadamu katika ghasia za kisiasa zinazoendelea katika nchi yao.
-
Rwanda yakanusha kuwasaidia waasi wa Burundi (Sauti)
Feb 11, 2016 14:46Kwa mara ya kwanza tangu Rwanda iliposhutumiwa na Umoja wa Mataifa kuwa inawaunga mkono waasi ambao Burundi inasema wanahatarisha usalama wake, serikali ya Kigali imekanusha rasmi madai hayo
-
Pendekezo la Ufaransa kwa Baraza la Usalama kuhusu utatuzi wa mgogoro wa Burundi
Feb 11, 2016 11:38Mwakilishi wa Kudumu wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa amewataka wanachama wa Baraza la Usalama la umoja huo kubuni mbinu mpya za kutatua mgogoro wa Burundi.