Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Kushadidi mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela na kukabiliana na Russia na China

    Kushadidi mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela na kukabiliana na Russia na China

    Apr 05, 2019 01:55

    Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake huko Venezuela, imechukua hatua zenye lengo la kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro aliyechaguliwa kihalali na kwa njia ya demokrasia.

  • Ubeberu wa Marekani haubakishi mtu, sasa ni zamu ya Italia

    Ubeberu wa Marekani haubakishi mtu, sasa ni zamu ya Italia

    Mar 29, 2019 00:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametoa vitisho vipya dhidi ya nchi muitifaki wa Washington yaani Italia kwa kudai kuwa nchi kama Italia ambazo zinataka kujiunga na mradi wa kiuchumi wa China uliopewa jina la "Njia ya Hariri" zitambue kuwa zitapata hasara kubwa ya kisiasa.

  • Rais Bashar al-Assad: Vikwazo vya kiuchumi vya Marekani ni njia mpya ya vita dhidi ya Syria

    Rais Bashar al-Assad: Vikwazo vya kiuchumi vya Marekani ni njia mpya ya vita dhidi ya Syria

    Mar 11, 2019 04:46

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, vita dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu vimechukua mkondo mpya ambapo sasa vimeelekezwa katika mzingiro na vita vya kiuchumi.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain adhihakiwa kwa kujikomba kwa Bin Salman

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain adhihakiwa kwa kujikomba kwa Bin Salman

    Feb 23, 2019 12:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain Khalid bin Ahmed Al Khalifah amedhihakiwa na kubezwa kimataifa kwa kumlinganisha mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman na Ukuta Mkubwa wa China.

  • Russia na China zamuunga mkono Rais Maduro dhidi ya njama za Marekani

    Russia na China zamuunga mkono Rais Maduro dhidi ya njama za Marekani

    Feb 23, 2019 00:15

    China na Russia zimetangaza uungaji mkono wao kwa Venezuela na kuonya kuhusu hatua yoyote ya kuishambulia nchi hiyo ya Amerika ya Latini ambako wapinzani wanamejiandaa kupokea vifurushi vya misaada kutoka Marekani.

  • Iran na China, washirika wa kistratijia barani Asia

    Iran na China, washirika wa kistratijia barani Asia

    Feb 21, 2019 03:31

    Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran (Bunge) na Rais wa China wamesisitiza udharura wa kupanuliwa zaidi ushirikiano wa kistratijia wa nchi hizo mbili.

  • Spika Larijani: China ni mshirika wa kuaminika wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Spika Larijani: China ni mshirika wa kuaminika wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Feb 20, 2019 11:21

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi ya China ni mshirika wa kiistratejia na wa kuaminika wa Iran.

  • Bahram Qassemi: Madola ya Ulaya hayapaswi kufuatilia kukamilisha matakwa yao kutoka kwa Iran

    Bahram Qassemi: Madola ya Ulaya hayapaswi kufuatilia kukamilisha matakwa yao kutoka kwa Iran

    Feb 18, 2019 11:44

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, subira na uvumilivu wa wananchi na serikali ya Iran una mipaka na kwamba, madola ya Ulaya hayapaswi kutumia muda kwa ajili ya kufuatilia kukamilisha matakwa yao kutoka kwa Iran.

  • Jumanne, tarehe 12 Februari, 2019

    Jumanne, tarehe 12 Februari, 2019

    Feb 12, 2019 00:54

    Leo ni Jumanne tarehe 6 Jamadithani 1440 Hijria sawa na Februari 12 mwaka 2019.

  • Uturuki yaitaka China ifunge vituo vya kuwazuilia Waislamu wa Uighur

    Uturuki yaitaka China ifunge vituo vya kuwazuilia Waislamu wa Uighur

    Feb 10, 2019 09:54

    Serikali ya Uturuki imetaja miamala ya China kwa Waislamu wa jamii ya Uighur kama fedheha kwa ubinadamu, huku ikiitaka ifunge vituo vilivyotengwa makhsusi kwa ajili ya kuwazuilia watu wa jamii hiyo ya walio wachache.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS