Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

chuki dhidi ya Uislamu

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-5

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-5

    Sep 02, 2017 15:50

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tano ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-3

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-3

    Sep 02, 2017 15:46

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tatu ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla huko katika nchi za Magharibi.

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-4

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-4

    Sep 02, 2017 15:42

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya nne ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-2

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-2

    Sep 02, 2017 15:13

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya pili ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla huko katika nchi za Magharibi.

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-1

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-1

    Sep 02, 2017 14:50

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya kwanza ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla huko katika nchi za Magharibi.

  • Madhara ya kuenezwa chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya

    Madhara ya kuenezwa chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya

    Aug 28, 2017 15:30

    Kuongezeka wimbi la vyombo vya habari vinavyoeneza chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya kumewaweka katika wakati mgumu sana Waislamu barani humo kiasi kwamba uchunguzi wa hivi karibuni wa maoni unaonesha kuwa, kati ya kila watu watano wa barani Ulaya, mmoja anachukia kuwa na jirani Muislamu.

  • Trump: Waueni Waislamu kwa risasi zilizotumbukizwa kwenye damu ya nguruwe

    Trump: Waueni Waislamu kwa risasi zilizotumbukizwa kwenye damu ya nguruwe

    Aug 18, 2017 08:09

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa kutoa kauli za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu, Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayoashiria kutaka baadhi ya waumini wa Kiislamu kuuawa kwa kutumia risasi zilizotumbukizwa kwenye damu ya nguruwe.

  • Kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu nchini Marekani

    Kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu nchini Marekani

    Apr 26, 2017 13:20

    Matukio yanayohusiana na chuki dhidi ya dini Tukufu ya Uislamu yameongezeka kwa asilimia elfu moja nchini Marekani.

  • Umoja wa Mataifa wawashutumu wanaoeneza uongo kuhusu Uislamu

    Umoja wa Mataifa wawashutumu wanaoeneza uongo kuhusu Uislamu

    Mar 29, 2017 14:18

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewashutumu watu wanaoeneza propaganda chafu dhidi ya Uislamu ambao wanajaribu kuihusisha dini hiyo na vitendo vya kigaidi.

  • Maelfu waandamana London, Uingereza kulaani chuki dhidi ya Uislamu

    Maelfu waandamana London, Uingereza kulaani chuki dhidi ya Uislamu

    Mar 19, 2017 07:46

    Maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Uingereza, London kushiriki maandamano ya kulaani chuki na uenezaji hofu dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ubaguzi wa rangi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS