Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

chuki dhidi ya Uislamu

  •  Al Azhar yasisitiza udharura wa kukabiliana na propaganda chafu dhidi ya Uislamu

    Al Azhar yasisitiza udharura wa kukabiliana na propaganda chafu dhidi ya Uislamu

    Mar 01, 2017 03:56

    Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri ametilia mkazo udharura wa taasisi za kidini duniani kukabiliana na wimbi la propaganda chafu zinazolenga dini ya Uislamu.

  • Misikiti 91 imeshambuliwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu Ujerumani

    Misikiti 91 imeshambuliwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu Ujerumani

    Feb 12, 2017 07:18

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imesema misikiti 91 na vituo vya dini ya Kiislamu vilishambuliwa nchini humo mwaka jana pekee 2016.

  • Mfuasi wa Trump amshambulia mwanamke Mwislamu New York

    Mfuasi wa Trump amshambulia mwanamke Mwislamu New York

    Jan 28, 2017 02:48

    Katika tukio jingine linalothibitisha kuwa uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu umeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Marekani, mfuasi wa Rais mpya wa nchi hiyo Donald Trump kutoka Massachusetts amemshambulia na kumjeruhi mwanamke Mwislamu katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa John F. Kennedy mjini New York.

  • Kukiri serikali ya Uingereza juu ya kuweko ubaguzi dhidi ya Waislamu

    Kukiri serikali ya Uingereza juu ya kuweko ubaguzi dhidi ya Waislamu

    Jan 17, 2017 03:02

    Serikali ya Uingereza imekiri kwamba, Waislamu wa nchi hiyo wanaotafuta kazi wamekuwa wakibaguliwa na kufanyiwa vitendo visivyo vya kiadilifu.

  • Chuki dhidi ya Uislamu, chanzo cha kuhujumiwa misikiti Afrika Kusini

    Chuki dhidi ya Uislamu, chanzo cha kuhujumiwa misikiti Afrika Kusini

    Jan 14, 2017 07:33

    Serikali ya Afrika Kusini imesema chuki dhidi ya Uislamu ndio chanzo cha hujumza mbili dhidi ya misikiti mjini Cape Town.

  • Mkutano wa London wa kujadili sababu za kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu Ulaya

    Mkutano wa London wa kujadili sababu za kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu Ulaya

    Dec 12, 2016 11:24

    Mji mkuu wa Uingereza, London siku ya Jumamosi ulikuwa mwenyeji wa mkutano uliofanyika chini ya anuani ya "Mazingira ya Chuki na Utawala wa Kipolisi", mkutano ambao ulihudhuriwa na shakhsia mbalimbali wa kiakademia, vyuo vikuu na wa vyombo vya habari wa Uingereza, nchi zingine za Ulaya pamoja na Marekani.

  • Mbunge Mwislamu adhalilishwa na dereva wa teksi Marekani

    Mbunge Mwislamu adhalilishwa na dereva wa teksi Marekani

    Dec 08, 2016 07:36

    Mbunge wa kwanza mwenye asili ya Kisomali kuchaguliwa nchini Marekani amesema dereva mmoja wa teksi amemdhalilisha na kumtolea maneno ya chuki dhidi ya Uislamu mjini Washington.

  • Kansela wa Ujerumani ataka kupigwa marufuku burqa

    Kansela wa Ujerumani ataka kupigwa marufuku burqa

    Dec 07, 2016 07:19

    Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametoa wito wa kupigwa marufuku vazi la stara la burqa, linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu.

  • Hizbullah yasema Trump ni mtu mwenye chuki na ubaguzi

    Hizbullah yasema Trump ni mtu mwenye chuki na ubaguzi

    Nov 23, 2016 08:05

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuchaguliwa mwanasiasa mwenye chuki na ubaguzi nchini Marekani kwa upande mmoja; na maandamano ya nchi nzima ya kulalamikia ushindi wa bilionea huyo kwa upande mwingine, ni dhihirisho kuwa nchi hiyo iko katika mgogoro mkubwa.

  • Zaidi ya Misikiti 100 yahujumiwa nchini Uingereza, kuanzia Mei 2013

    Zaidi ya Misikiti 100 yahujumiwa nchini Uingereza, kuanzia Mei 2013

    Nov 23, 2016 04:17

    Zaidi ya ya vituo vya Kiislamu na misikiti 100 imehujumiwa nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS