-
Watu wengine 32 wauawa katika mapigano ya kikabila Darfur, Sudan
Jan 17, 2021 08:02Watu wasiopungua 32 wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mapigano ya kikabila baina ya Waarabu na wasiokuwa Waarabu katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.
-
ICC kuendelea kumzuilia kinara wa washukiwa wa jinai za kivita Darfur
Oct 09, 2020 02:38Majaji wa Kitengo cha Rufaa cha Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wamepasisha uamuzi wa kuendelea kumshikilia kinara wa kundi la wanamgambo wanaoshukiwa kuhusika na jinai za kivita katika eneo la Darfur nchini Sudan mwaka 2003.
-
Sudan iko tayari kushirikiana na ICC kuhusu jinai za kivita Darfur
Aug 23, 2020 07:56Serikali ya Sudan imesema iko tayari kushirikiana na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ili kuhakikisha kuwa washukiwa wa jinai za kivita katika eneo la Darfur wanafikishwa mbele ya korti hiyo yenye makao yake mjini Hague nchini Uholanzi.
-
Watu 60 wauawa Darfur, Sudan, waziri mkuu atuma wanajeshi
Jul 27, 2020 07:52Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu 60 wameuawa katika mapigano mapya ambayo yamejiri katika eneo la Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
Maelfu waandamana Darfur Sudan kulalamikia ukosefu wa usalama
Jul 09, 2020 07:46Maelfu ya wakazi wa jimbo la Darfur huko Sudan wameandamana wakilalamikia kuongezeka ukosefu wa usalama na amani.
-
'Ugonjwa usiojulikana' waua makumi Darfur, Sudan
Jun 13, 2020 12:39Maafisa wa afya nchini Sudan wameeleza wasiwasi mkubwa walionao kutokana na ongezeko la vifo 'visivyo vya kawaida' katika kambi za wakimbizi katika eneo la Darfur.
-
Serikali ya Sudan na wapinzani wa Darfur wakubaliana kuwakabidhi watenda jinai kwa mahakama ya ICC
Feb 12, 2020 02:58Serikali ya Sudan na viongozi wa makundi ya upinzani katika eneo la Darfur wamefikia makubaliano ya kuwakabidhi watenda jinai za kivita katika eneo hilo lililoko magharibi mwa Sudan kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) akiwemo rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir.
-
Ndege ya kijeshi yaanguka Darfur, Sudan na kuua watu 18
Jan 03, 2020 12:29Watu 18 wameaga dunia baada ya ndege ya kijeshi kuanguka katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.
-
Watu 36 wauawa katika mapigao ya kikabila Darfur, Sudan
Jan 01, 2020 08:12Kwa akali watu 36 wameuawa katika mapigano ya kikabila yanayoendelea kushuhudiwa katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.
-
Ripoti: Wasudani hawaridhishwi na hukumu iliyotolewa dhidi ya Omar al Bashir
Dec 15, 2019 13:27Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, wananchi wa Sudan hawakuridhishwa na hukumu ya kifungo cha miaka miwili katika kituo cha marekebisho ya kitabia iliyotolewa dhidi ya kiongozi aliyeondolewa madarakani wa nchi hiyo, Omar al Bashir, baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha za umma na ufisadi.