-
Waziri wa Ulinzi wa Marekani amuonya Trump asijaribu kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran
Apr 16, 2018 09:52Waziri wa Ulinzi nchini Marekani, James N. Mattis amemuonya Rais Donald Trump wa nchi hiyo juu ya kuchukua aina yoyote ya hatua ya vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Trump akosolewa kwa kuishambulia Syria bila idhini ya Kongresi
Apr 14, 2018 23:29Wabunge wa vyama vya Republican na Democrat nchini Marekani kwa pamoja wametoa radiamali wakimkosoa Rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa kuishambulia Syria bila ya kupata idhini ya Kongresi.
-
Jeshi la Syria lachukua udhibiti wa Ghouta Mashariki licha ya makelele ya Trump
Apr 13, 2018 09:27Hatimaye jeshi na vikosi vya mapambano ya wananchi wa Syria vimechukua udhibiti kamili wa eneo la kistratijia la Ghouta Mashariki karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Damsacus, baada ya kujiri mapigano makali ya wiki kadhaa na magenge ya magaidi yanayoungwa mkono na nchi za Magharibi na Kiarabu.
-
Trump aelekeza vita vya kibiashara Afrika, Rwanda yajibu mapigo
Apr 12, 2018 10:18Baada ya kuanzisha vita vya kibiashara dhidi ya nchi za Asia na Ulaya na kupata jibu kali, sasa Rais wa Marekani Donald Trump anaonekena kueelekeza vita hivyo kwa nchi za Afrika.
-
Weledi wa kisiasa: Huwenda Rais Trump akakumbwa na hatma ya Richard Nixon
Apr 02, 2018 10:30Kuendelea kufichuliwa kashfa mbalimbali zinazomuhusu rais wa Marekani, Donald Trump kumetajwa na weledi wa masuala ya kisiasa nchini humo kuwa kutapelekea rais huyo kujiuzulu kabla ya kumaliza muda wake.
-
Trump adai askari wa Marekani wataondoka Syria hivi karibuni
Mar 29, 2018 22:31Rais Donald Trump wa Marekani amedai kuwa askari wa nchi hiyo wataondoka katika ardhi ya Syria hivi karibuni.
-
Trump aunga mkono tena sheria ya kumiliki bunduki kiholela nchini Marekani
Mar 28, 2018 11:31Kwa mara nyingine tena rais wa Marekani, Donald Trump ameunga mkono sheria inayoruhusu kuuzwa na kumiliki bunduki kiholela nchini humo.
-
Trump awafukuza wanadiplomasia 60 wa Russia, Putin asema atalipiza kisasi
Mar 26, 2018 11:21Rais Donald Trump wa Marekani amewafukuza makumi ya wanadiplomasia wa Russia walioko nchini Marekani kufuatia kwa kusingizio cha kupewa sumu jasusi wa zamani wa Russia nchini Uingereza.
-
Mcheza filamu za ngono atishiwa usalama wake kwa kumsakama Donald Trump
Mar 26, 2018 03:20Mcheza filamu chafu za ngono ambaye amepata umaarufu kwa kufichua kwamba aliwahi kutembea kimwili kwa miezi kadhaa na rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa amepokea vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana wakimtaka aache kumsakama Trump.
-
Netanyahu afurahishwa na hatua ya Trump ya kuikatia misaada Mamlaka ya Ndani ya Palestina
Mar 26, 2018 03:08Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameelezea kufurahishwa sana na hatua ya rais wa Marekani na Baraza la Congress la nchi hiyo ya kupasisha sheria inayojulikana kwa jina la Taylor Force ambayo inaamrisha kukatwa misaada ya Marekani kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina inayoongozwa na Mahmoud Abbas.