Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Sababu zilizopelekea Trump kushinda uchaguzi wa rais wa Marekani

    Sababu zilizopelekea Trump kushinda uchaguzi wa rais wa Marekani

    Nov 08, 2024 03:29

    Hatimaye mchuano mkali uliowaweka watu roho juu, wa kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2024 uliofanyika Novemba 5, umemalizika na matokeo yake rasmi yametangazwa.

  • Trump amsifu shahidi  Luteni Jenerali Qassem Soleimani

    Trump amsifu shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani

    Oct 15, 2024 08:42

    Rais wa zamani wa Marekani na mgombeaji wa uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo amesema kuwa, Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyeuawa shahidi, kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha IRGC, alikuwa jenerali mkubwa sana wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Msaada wa EU kwa Ukraine tangu vilipoanza vita na Russia 2022 umefikia dola bilioni 131

    Msaada wa EU kwa Ukraine tangu vilipoanza vita na Russia 2022 umefikia dola bilioni 131

    Sep 18, 2024 02:32

    Misaada iliyotolewa na Umoja wa Ulaya (EU) na nchi wanachama wa umoja huo kwa Ukraine tangu vilipoanza kati ya nchi hiyo na Russia mnamo Februari 2022 imefikia yuro bilioni 118 (dola bilioni 131). Hayo yameelezwa na Makamu wa Rais wa Tume ya EU Valdis Dombrovskis.

  • Mdahalo wa kwanza wa uchaguzi wa rais wa Marekani kati ya Harris na Trump

    Mdahalo wa kwanza wa uchaguzi wa rais wa Marekani kati ya Harris na Trump

    Sep 12, 2024 03:56

    Mgombea wa chama cha Demokrat Kamala Harris na mgombea wa chama cha Republican Donald Trump katika uchaguzi wa urais wa Marekani wa Novemba 5, 2024, walishiriki katika mdahalo wao wa kwanza siku ya Jumanne usiku, Septemba 10.

  • UN yarefusha muda wa vikosi vya AU kuhudumu Somalia hadi Desemba mwaka huu

    UN yarefusha muda wa vikosi vya AU kuhudumu Somalia hadi Desemba mwaka huu

    Aug 17, 2024 06:03

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha Azimio nambari 2748, linaloruhusu mamlaka ya Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kusalia nchini humo hadi Desemba mwaka huu.

  • Biden ajitoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa Marekani

    Biden ajitoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa Marekani

    Jul 22, 2024 22:53

    Hatimaye, Joe Biden, Rais wa Kidemokrati wa Marekani mwenye umri wa miaka 81, amejiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa nchi hiyo baada ya mijadala mingi kuhusu kugombea kwake katika uchaguzi wa Novemba 5 mwaka huu, na kumuunga mkono Kamala Harris, makamu wake kama mgombea wa kiti hicho.

  • Kanusho la Iran kwa madai ya uwongo ya Marekani ya kuhusika katika jaribio la kumuua Trump

    Kanusho la Iran kwa madai ya uwongo ya Marekani ya kuhusika katika jaribio la kumuua Trump

    Jul 18, 2024 07:10

    Baada ya tukio la kupigwa risasi Donald Trump, rais wa zamani na mgombea wa chama cha Republican katika uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2024, baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani kwa mara nyingine vikiendeleza propaganda za chuki dhidi ya Iran (Iranphobia) vilidai kuweko mkono wa Iran katika tukio hilo.

  • Iran yakanusha madai ya uwongo ya kuhusika katika jaribio la kumuua Trump

    Iran yakanusha madai ya uwongo ya kuhusika katika jaribio la kumuua Trump

    Jul 17, 2024 03:58

    Akijibu baadhi ya ripoti zisizo na msingi zinazodai kuwa Iran imeshiriki katika jaribio la kumuua Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani, Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote na kwamba ni za kichochezi.

  • Tukio la kupigwa risasi Trump; ishara ya kuongezeka ghasia za kisiasa nchini Marekani

    Tukio la kupigwa risasi Trump; ishara ya kuongezeka ghasia za kisiasa nchini Marekani

    Jul 14, 2024 09:52

    Tukio la kupigwa risasi Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani wakati akizungumza kwenye kampeni ya uchaguzi mbele ya wafuasi wake huko Butler, Pennsylvania, Jumamosi jioni, huku uchaguzi wa rais ukikaribia kufanyika nchini humo, limeibua gumzo kubwa la kisiasa katika vyombo vya habari vya Marekani.

  • Trump ajeruhiwa kwa risasi mkutanoni Pennsylvania; asema yupo salama

    Trump ajeruhiwa kwa risasi mkutanoni Pennsylvania; asema yupo salama

    Jul 14, 2024 00:03

    Raisi wa zamani wa Markani, Donald Trump, na mgombea wa sasa wa kiti cha rais nchini humo jana alijeruhiwa kwa rsasi akiwa katika mkutano wa hadhara huko Butler, katika jimbo la Pennsylvania akihutubia wafuasi wake; hatua iliyoipelekea timu yake ya ulinzi kumtoa katika sehemu ya tukio.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS