Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Trump: Licha ya kumuua Khashoggi, lakini Marekani ingali inaihitaji Saudia kupambana na Iran

    Trump: Licha ya kumuua Khashoggi, lakini Marekani ingali inaihitaji Saudia kupambana na Iran

    Oct 20, 2018 04:35

    Huku dunia ikiendelea kulaani mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi mashuhuri wa habari wa Saudia, lakini Rais Donald Trump wa Marekani ameonekana kuendelea kuukingia kifua utawala wa Aal-Saud juu ya mauaji hayo.

  • Onyo la Kamisheni ya Ulaya la kujibu hatua za kiuadui za kibiashara za Marekani

    Onyo la Kamisheni ya Ulaya la kujibu hatua za kiuadui za kibiashara za Marekani

    Oct 17, 2018 23:43

    Rais wa Marekani, Donald Trump anapanga kuzipandishia ushuru bidhaa za kigeni zinazoingia nchini humo. Hatua hiyo inahesabiwa kuwa ni kutangaza vita rasmi vya kiuchumi na madola mengi yenye nguvu za kiuchumi ulimwenguni.

  • Juhudi za Rais Donald Trump za kuinasua Saudia kutokana na sakata la kuuawa Khashoggi

    Juhudi za Rais Donald Trump za kuinasua Saudia kutokana na sakata la kuuawa Khashoggi

    Oct 17, 2018 04:36

    Huku zikiwa zimepita zaidi ya wiki mbili tangu kutoweka katika mazingira ya kutatanisha Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo huko Uturuki, na pia kuendelea kushuhudiwa mashinikizo ya jamii ya kimataifa yanayotaka kuwekwa wazi hatma ya mwandishi huyo, Rais Donald Trump wa Marekani pamoja na viongozi wa Saudia ambao wako katika mashinikizo ya walimwengu wanakusudia kulipotosha suala hilo katika fikra za walio wengi.

  • Waziri wa Ulinzi wa Marekani ajibu matamshi ya Trump, asema haondoki kwenye uongozi

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani ajibu matamshi ya Trump, asema haondoki kwenye uongozi

    Oct 17, 2018 01:07

    Zikiwa zimepita siku mbili tangu Rais Donald Trump wa Marekani atoe matamshi kuwa huenda Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, James N. Mattis akaondoka katika wizara hiyo, waziri huyo ameibuka na kutoa radiamali kwa matamshi hayo ya Trump.

  • Ongezeko la nakisi ya bajeti ya Marekani ambalo halijawahi kushuhudiwa; matokeo ya siasa za Donald Trump

    Ongezeko la nakisi ya bajeti ya Marekani ambalo halijawahi kushuhudiwa; matokeo ya siasa za Donald Trump

    Oct 17, 2018 00:47

    Tangu Rais Donald Trump wa Marekani aingie katika ikulu ya White House na kushika hatamu za uongozi wa nchi hiyo, alidai kwamba, atatanguliza mbele sera na hatua zitakazokuza uchumi wa nchi yake pamoja na ajira sambamba na kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Washington.

  • Tuhuma na maneno makali ya Trump dhidi ya China

    Tuhuma na maneno makali ya Trump dhidi ya China

    Oct 16, 2018 03:58

    Uhusiano wa Marekani na China umekumbwa na misukosuko na panda shuka mbalimbali baada ya kuingia madarakani Donald Trump huko Marekani. Washington na Beijing zinahitilafiana katika masuala mengi ya kisiasa, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, kiusalama na kiistratijia.

  • Uungaji mkono wa Trump juu ya kuendelea miamala ya kuuzia silaha utawala wa Saudia

    Uungaji mkono wa Trump juu ya kuendelea miamala ya kuuzia silaha utawala wa Saudia

    Oct 15, 2018 00:15

    Suala la kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kuendelea kuwa kitendawili hatma ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji mashuhuri wa utawala wa Saudia ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo huko mjini Istanbul, Uturuki, limeendelea kuibua radiamali nyingi duniani.

  • Trump: Marekani kutoiuzia Saudia silaha ni sawa na kujiadhibu

    Trump: Marekani kutoiuzia Saudia silaha ni sawa na kujiadhibu

    Oct 14, 2018 03:37

    Rais Donald Trump amesema Marekani itakuwa inajiadhibu yenye iwapo itaamua kusimamisha uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia, huku Washington ikiendelea kukabiliwa na mashinikizo ya kuangalia upya uhusiano wake na Riyadh kufuatia mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal-Saud.

  • Sisitizo la Rais wa Russia la kupinga utumiaji mabavu na uchukuaji hatua za upande mmoja katika uga wa kimataifa

    Sisitizo la Rais wa Russia la kupinga utumiaji mabavu na uchukuaji hatua za upande mmoja katika uga wa kimataifa

    Oct 13, 2018 04:11

    Sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja za Rais Donald Trump wa Marekani zimeifanya nchi hiyo iendelee kutengwa duniani. Katika kutekeleza kaulimbiu yake ya "Marekani Kwanza", Trump, mbali na kuyapa kipaumbele cha kwanza maslahi na malengo ya Marekani, tab'an bila kujali nafasi za nchi zingine, anaitakidi kuwa siasa na sera za ubinafsi na uchukuaji maamuzi ya upande mmoja zitaongeza nguvu za Marekani na kuiwezesha kuwashinda washindani wake.

  • Sayyid Nasrullah: Trump anatumia propaganda chafu dhidi ya Iran kuuza silaha kwa nchi za Kiarabu

    Sayyid Nasrullah: Trump anatumia propaganda chafu dhidi ya Iran kuuza silaha kwa nchi za Kiarabu

    Oct 12, 2018 23:19

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatumia sera ya kueneza propaganda chafu dhidi ya Iran kwa shabaha ya kutaka kuuza silaha za mabilioni ya dola kwa nchi za Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS