Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghuba ya Uajemi

  • Safavi: Kuna hatari ya kutokea fitna mpya Ghuba ya Uajemi

    Safavi: Kuna hatari ya kutokea fitna mpya Ghuba ya Uajemi

    Jul 03, 2017 23:12

    Mshauri Mkuu wa Amirijeshi Mkuu wa Vikosi vyote vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baada ya Marekani, Saudi Arabia na Wazayuni kushindwa vibaya katika nchi za Iraq na Syria, hivi sasa kuna uwezekano kundi hilo likaanzisha fitna mpya katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lakabiliwa na tishio kuu, huku muda wa masharti ya Saudia ukimalizika leo

    Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lakabiliwa na tishio kuu, huku muda wa masharti ya Saudia ukimalizika leo

    Jul 03, 2017 00:15

    Katika hali ambayo muhula wa siku kumi Uliotolewa na Saudia na waitifaki wake kwa Qatar ili Ikubali masharti ya Riyadh unamalizika leo Jumatatu tarehe tatu Julai, mgogoro katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi sasa umeingia katika marhala mpya.

  • Ijumaa, Mei 26, 2017

    Ijumaa, Mei 26, 2017

    May 26, 2017 03:38

    Leo ni Ijumaa tarehe 29 Shaaban 1438 Hijria Qamaria sawa 26 Mei 2017 Miladia.

  • Iran yataka ushirikiano baina ya nchi za Ghuba ya Uajemi

    Iran yataka ushirikiano baina ya nchi za Ghuba ya Uajemi

    Apr 30, 2017 23:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ametoa wito wa kuwepo urafiki miongoni mwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Nchi za Kiarabu eneo la Ghuba ya Uajemi zinakabiliwa na hali mbaya ya kiuchumi

    Nchi za Kiarabu eneo la Ghuba ya Uajemi zinakabiliwa na hali mbaya ya kiuchumi

    Apr 14, 2017 21:59

    Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi zinakabiliwa na hali mbaya ya kiuchumi kutokana na kushuka mno kiwango cha ukuaji uchumi na matatizo mengi ya kifedha yanayozikabili nchi hizo.

  • Hizbullah: Nchi za Kiarabu zishirikiane na Iran kwa maslahi ya Ghuba ya Uajemi

    Hizbullah: Nchi za Kiarabu zishirikiane na Iran kwa maslahi ya Ghuba ya Uajemi

    Feb 12, 2017 03:37

    Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa wito kwa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa lengo la kurejesha amani na uthabiti katika eneo hili.

  • Hivi ndivyo Uingereza inavyochochea jinai Mashariki ya Kati

    Hivi ndivyo Uingereza inavyochochea jinai Mashariki ya Kati

    Jan 12, 2017 07:32

    Wakati kuna kila dalili zinazoonesha kuwa, Uingereza inafanya kila liwezekanalo kuhakikisha inarejea katika Ghuba ya Uajemi, ushahidi mpya umethibitisha kwamba mkoloni huyo mkongwe wa Ulaya anahusika moja kwa moja katika jinai zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu hususan Saudi Arabia.

  • Qassemi: Waziri Mkuu wa Uingereza anajipendekeza kwa nchi za Kiarabu

    Qassemi: Waziri Mkuu wa Uingereza anajipendekeza kwa nchi za Kiarabu

    Dec 08, 2016 04:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali matamshi ya chuki dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, yaliyotolewa jana na Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May, katika mkutano wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC, na kusisitiza kuwa kauli hiyo inalenga kuzifurahisha na kuziridhisha nchi za Kiarabu za baraza hilo.

  • Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Sep 18, 2016 05:49

    Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.

  • Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Sep 18, 2016 02:38

    Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS