Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Haki za Binadamu

  • UN yalaani mauaji ya wakili wa haki za binadamu Kenya

    UN yalaani mauaji ya wakili wa haki za binadamu Kenya

    Jul 06, 2016 04:32

    Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imelaani vikali mauaji ya wakili wa haki za binadamu nchini Kenya Bwana Willie Kimani, mteja wake Josphat Mwenda, na dereva wao wa taxi Joseph Muiruri, yaliyofanyika Juni 23.

  • Hali ya haki za binadamu Burundi yajadiliwa katika Baraza la Haki za Binadamu

    Hali ya haki za binadamu Burundi yajadiliwa katika Baraza la Haki za Binadamu

    Jun 30, 2016 03:28

    Hali ya haki za binadamu nchini Burundi imejadiliwa katika kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.

  • Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Kiarabu yaituhumu Misri kuwa inakiuka haki za wapinzani

    Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Kiarabu yaituhumu Misri kuwa inakiuka haki za wapinzani

    Jun 20, 2016 13:29

    Ripoti iliyotolewa na Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Kiarabu imetangaza kuwa hadi sasa Mahakama za Misri zimewahukumu kifo wapinzani 734 wa serikali ya Cairo.

  • Makundi ya haki za binadamu yametaka kurejeshwa jina la Riyadh katika orodha nyeusi ya UN

    Makundi ya haki za binadamu yametaka kurejeshwa jina la Riyadh katika orodha nyeusi ya UN

    Jun 09, 2016 14:00

    Makundi 20 ya kutetea haki za binadamu yamemtaka Ban Ki-moon Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alirejeshe tena jina la Saudi Arabia kwenye orodha nyeusi ya umoja huo kutokana na kukiuka haki za watoto huko Yemen.

  • Umoja wa Mataifa Wakosoa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Bahrain na Saudia

    Umoja wa Mataifa Wakosoa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Bahrain na Saudia

    May 31, 2016 07:39

    Sambamba na kutangazwa hukumu ya kidhalimu dhidi ya wanaharakati wa kisiasa wa Bahrain na Saudi Arabia, Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetoa ripoti na kuzituhumu tawala za nchi hizo mbili kuwa wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu duniani.

  • Ukiukaji wa kupindukia mipaka wa haki za binadamu nchini Bahrain

    Ukiukaji wa kupindukia mipaka wa haki za binadamu nchini Bahrain

    May 17, 2016 07:06

    Ripoti ya jumuiya ya haki za binadamu ya Bahrain kuhusu uvunjwaji mkubwa wa haki binadamu nchini humo unaofanywa na utawala wa Aal Khalifa, kupasishwa hukumu ya kifungo cha maisha jela na mahakama kuu ya rufaa dhidi ya wapinzani wanne wa serikali na tamko la viongozi wa kidini wa Bahrain la kulaani siasa za ukoo wa kifalme wa nchi hiyo, ni miongoni mwa mambo muhimu yaliyogonga vichwa habari katika siku za hivi karibuni.

  • Kuongezeka hatua za chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    Kuongezeka hatua za chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    May 04, 2016 04:06

    Kamisheni ya Mashauri ya Haki za Binadamu nchini Ufaransa (CNCDH) imetangaza katika ripoti yake ya kila mwaka kwamba, vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu vimeongezeka mara tatu nchini humo katika mwaka uliopita wa 2015.

  • Watetezi wa haki za binadamu Uingereza wataka Sheikh Zakzaky aichiwe huru

    Watetezi wa haki za binadamu Uingereza wataka Sheikh Zakzaky aichiwe huru

    Apr 21, 2016 06:49

    Kundi la wanaharakai wa kutetea haki za binadamu nchini Uingereza limeanzisha wimbi kubwa la malalamiko katika mitandao ya kijamii likitaka kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Mkuu wa vyombo vya Mahakama ajibu madai ya haki za binadamu ya Marekani

    Mkuu wa vyombo vya Mahakama ajibu madai ya haki za binadamu ya Marekani

    Apr 19, 2016 03:10

    Mkuu wa vyombo vya Mahakama nchini Ayatullah Sadeq Amoli Larijani amekosoa vikali ripoti ya kila mwaka ya haki za binadamu ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Baraza la Haki za Binadamu laitisha kikao kujadili hali ya mambo nchini Burundi

    Baraza la Haki za Binadamu laitisha kikao kujadili hali ya mambo nchini Burundi

    Mar 23, 2016 15:00

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa jana liliitisha kikao kujadili hali ya mambo nchini Burundi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS