-
Mashirika 20 ya kimataifa yaandika barua kupinga madai ya Marekani kuhusu Baraza la Haki za Binadamu
Jun 25, 2018 14:42Mashirika 20 ya kimataifa yasiyo ya kiserikali yamepinga madai ya Marekani kuhusu sababu zilizoifanya Washington ijitoe katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na yametetea utendaji wa baraza hilo.
-
EuroMed Rights: Ukatili dhidi ya wahajiri unaongezeka barani Ulaya
Jun 22, 2018 04:52Shirika la kutetea haki za binadamu Ulaya na Mediterania, (EuroMed Rights) limetahadharisha kuhusu ongezeko la ukatili na vitendo vya kutumia mabavu dhidi ya wahajiri katika nchi za Ulaya na limeutaka Umoja wa Ulaya (EU) kukabiliana na ubaguzi barani humo.
-
Human Rights Watch: Saudia inawatia nguvuni watetezi wa haki za binadamu
Jun 21, 2018 07:34Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limelaani hatua ya Saudi Arabia ya kuwatia nguvuni wanaharakati wa kutetea haki za wanawake na kusisitiza kuwa, kamatakamata hiyo inafanyika katika wimbi la hivi karibini la kukabiliana na watetezi wa haki za binadamu.
-
Qatar yaishtaki Imarati katika mahakama ya haki za binadamu ya UN
Jun 12, 2018 13:50Qatar imewasilisha faili la kesi dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu, katika mahakama ya juu zaidi ya Umoja wa Mataifa, ikiituhumu Abu Dhabi kwamba imekiuka haki za binadamu za wananchi wa Qatar, huku mgogoro wa nchi hizo za Kiarabu ukielekea kutimiza mwaka mmoja.
-
HRW: Maelfu wanazuiliwa kwa muda mrefu Saudia bila kufunguliwa mashitaka
May 06, 2018 07:29Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limekosoa ukiujaki wa haki za binadamu unaofanywa nchini Saudi Arabia na haswa hatua ya utawala wa Aal-Saud ya kuwazuilia kwa vipindi virefu watuhuma wa makosa mbalimbali pasina kuwafungulia mashitaka.
-
Iran: Ripoti ya haki za binadamu ya Marekani ni ya kiuadui na kisiasa na haikubaliki
Apr 22, 2018 08:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa jibu kwa ripoti ya kila mwaka inayotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusu haki za binadamu kwa kueleza kwamba ripoti hiyo ni ya kiuadui na kisiasa na haikubaliki.
-
HRW: Maafisa usalama na chama tawala wanaua wapinzani Burundi
Apr 18, 2018 04:05Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema maafisa usalama wakishirikiana na wafuasi wa chama tawala nchini Burundi CNDD-FDD wanawaua na kuwashambulia wapinzani hususan wanaoonekana kupinga kura ya maoni inayotazamiwa kufanyika mwezi ujao.
-
'Ripoti ya Haki za Binadamu ya UN ni dhidi ya Iran, haina ushahidi na ni ya uongo
Mar 12, 2018 16:05Mkuu wa vyombo vya mahakama Iran amesema, waliowengi duniani wanapinga undumakuwili unaoonyeshwa na taasisi za kimataifa kuhusu haki za binadamu.
-
UN: Haki za binadamu zinakanyagwa katika nchi nyingi duniani
Mar 08, 2018 08:17Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, haki za binadamu zinatishiwa au kukanyagwa katika zaidi ya nchi 50 kote duniani.
-
Qassemi: Ripoti ya Antonio Guterres kuhusu hali ya haki za binadamu Iran haina itibari
Mar 02, 2018 04:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ripoti ya Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran haina itibari wala thamani kutokana na kutoakisi ukweli.