Pars Today
Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel usijaribu kuichokoza na kuanzisha vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina, Hamas, imemteua afisa wa ngazi za juu wa tawi lake la kijeshi kuwa kiongozi wa harakati hiyo Ukanda wa Ghaza.
Leo ni Jumatano tarehe 26 Rabiuthani 1438 Hijria sawa na Januari 25, 2017.
Leo ni Jumatano tarehe 26 Mfunguo Saba Rabiuthani 1438 Hijria sawa na Januari 25, 2017 Milaadia.
Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) hapa Tehran amesema kuwa njia pekee ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kuendeleza muqawama na kwamba ishara ya wazi zaidi ya mapambano hayo ni Intifadha.
Leo ni Jumanne tarehe 18 Rabiuthani 1438 Hijria sawa na tarehe 17 Januari 2017.
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, mkutano wa mapatano ulioanza jana huko Paris Ufaransa ni kupoteza wakati bure na ni marudio ya mikutano ya mapatano ya huko nyuma ambayo haikuwa na matunda yoyote.
Makumi ya maelfu ya Wapalestina leo wameshiriki katika maandamano huko Ghaza kuadhimisha mwaka wa 29 wa kuasisiwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia amri yake ya kupiga marufuku adhana na kusema sheria hiyo ni sawa na 'kuchezea moto.'
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekadhibisha madai ya kuwepo mgogoro katika uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.