-
Hizbullah: Adui Mzayuni hawezi kuusambaratisha muqawama
Feb 23, 2025 02:44Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: Adui Mzayuni hawezi kuusambaratisha muqawama.
-
Jeshi la Israel laendelea kukalia maeneo ya ardhi ya Lebanon licha ya muhula wa kuondoka kumalizika
Feb 18, 2025 13:42Muhula wa mwisho uliokuwa umetolewa kwa askari wote wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kusini mwa Lebanon chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa kati ya utawala huo na harakati ya Hizbullah ulimalizika leo Jumanne, huku Israel ikitangaza kuwa itaendelea kubaki katika "maeneo matano ya kimkakati" ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel
Jan 28, 2025 08:03Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wakati wa mashambulizi makali ya anga na nchi kavu ya Israel dhidi ya nchi yao.
-
Hizbullah: Irada ya Walebanon, ndiyo silaha kubwa zaidi ya Muqawama
Jan 27, 2025 12:30Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imepongeza hatua ya kurejea maelfu kwa maelfu ya watu katika miji yao ambayo ingali inakaliwa kwa mabavu kusini mwa Lebanon, huku wakipuuzilia mbali vitisho vya jeshi la Israel, ikisema nia yao isiyo na kikomo na moyo wao usioweza kutetereshwa, ndiyo silaha kali zaidi za mrengo wa Muqawama.
-
Gazeti la Kiebrania la Haaretz: Israel imeidhinisha mpango wa kuondoa askari wake Ukanda wa Ghaza
Jan 13, 2025 03:26Gazeti la Kiebrania la Haaretz limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeidhinisha mipango ya kuwaondoa wanajeshi katika Ukanda wa Ghaza, baada ya hatua zilizopigwa katika mazungumzo ya kubadilishana mateka na harakati ya Hamas.
-
Utawala wa Kizayuni wakiri kupata hasara kubwa kufuatia mashambulizi ya Hizbullah
Dec 04, 2024 12:18Mkuu wa kitongoji kimoja cha Wazayuni ameeleza kuwa zaidi ya asilimia 60 ya nyumba ndani ya kitongoji hicho zimeharibiwa na kubomoka kufuatia mashambulizi ya makombora ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Abdul-Malik al-Houthi: Kupitia Hizbullah, Mwenyezi Mungu ametoa ushindi mwingine mkubwa dhidi ya adui Israel
Nov 29, 2024 07:48Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amepongeza ushindi wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon dhidi ya uvamizi na jinai za Israel dhidi ya nchi hiyo na kusema Mwenyezi Mungu ameruzuku ushindi mwingine wa kihistoria dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Sababu za kusalia imara Muqawama-2
Nov 17, 2024 02:39Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi chetu cha leo ambacho kinaendelea kuzungumzia sababu za kuendelea kusimama imara kambi ya Muqawama dhidi ya mabeberu na utawala wa Kizayuni wa Israel...
-
Hizbullah yawatwanga kwa makombora wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 06, 2024 02:31Wanamuqawama wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon wamevurumisha makombora katika kambi za kijeshi mahali walipokuwa wamekusanyika wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel yaililia Russia iwe mpatanishi kati yake na Hizbullah
Nov 02, 2024 11:14Israel sasa inaiasa Russia eti ishiriki katika 'juhudi za amani' zinazolenga kumaliza mzozo kati ya utawala huo wa Kizayuni na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.