-
Nasrullah: Makundi kigaidi yanatumikia maslahi ya Marekani
Aug 14, 2016 02:31Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameyataka makundi ya kigaidi na kitakfiri kuweka chini silaha na yatambue kuwa harakati zao hazina maslahi kwa yeyote isipokuwa adui Marekani.
-
Hizbullah, Hamas zalaani shambulizi la kigaidi Nice
Jul 16, 2016 02:18Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) zimelaani shambulizi la kigaidi lililofanyika katika mji wa Nice nchini Ufaransa.
-
Hizbullah: Magaidi wanaoungwa mkono na Saudia na US, hatari M/Kati
Jun 24, 2016 22:41Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono kwa hali na mali na Saudia na Marekani yanatishia usalama wa eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Vita Syria si vya Shia na Suni, Saudi Arabia inazuia ukombozi wa Palestina
Jun 14, 2016 09:49Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema Saudi Arabia sasa imekuwa kizingiti kikubwa katika ukombozi wa Palestina.
-
Nabil Qaouk: Saudia hawauwezi muqawama wa Lebanon
Jun 13, 2016 22:01Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Saudi Arabia haiwezi kuushinda nguvu muqawama wa Lebanon.
-
Marekani yashinikiza kufungwa akaunti 3,000 zaidi za 'Hizbullah'
Jun 11, 2016 03:26Zaidi ya akaunti 3,000 za benki za watu wanaoaminika kuwa na mafungamano na harakati ya Hizbullah ya Lebanon zinatazamiwa kufungwa karibuni hivi, kufuatia mashinikizo ya Marekani.
-
Sayyid Nasrullah: Israel ingali tishio kuu kwa eneo la M/Kati
May 25, 2016 11:58Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio tishio kuu kwa usalama na amani ya eneo hili.
-
Nasrallah ampongeza kamanda wa Hizbullah aliyeuawa Syria
May 20, 2016 23:25Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah Sayyed Hassan Nasrallah amempongeza kamanda mwandamizi wa harakati hiyo ya muqawama, Shahidi Mustafa Badreddine aliyeuawa Syria wiki jana na kusema alikuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya Israel.
-
Hizbullah yapongeza juhudi za Iran za kusuluhisha matatizo ya eneo
May 16, 2016 02:19Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kupambana na ugaidi sambamba na jitada zake za kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazolikabili eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Hizbullah yachunguza namna alivyouawa kamanda wake
May 13, 2016 03:17Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah imesema imeanzisha uchunguzi kubaini namna kamanda wake mwandamizi alivyouawa katika kile kilichotajwa kuwa hujuma ya jeshi la utawala haramu wa Israel.