-
Alkhamisi tarehe 5 Agosti 2021
Aug 05, 2021 02:30Leo ni tarehe 25 Dhulhija 1442 Hijria sawa na tarehe 5 Agosti Agosti mwka 2021.
-
Iran yaadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Hussein (AS)
Mar 17, 2021 07:33Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeungana na ulimwengu wa Kiislamu hii leo kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume wetu mtukufu Muhammad (SAW).
-
Jumatano tarehe 17 Machi mwaka 2021
Mar 17, 2021 02:28Leo ni Jumatano tarehe 3 Shaabani 1442 Hujria inayosadifiana na tarehe 17 Machi mwaka 2021.
-
Fatimatu Zahra katika Suratu Dahr (Insan)
Feb 02, 2020 07:47Wanahistoria na wapokezi wa hadithi wameandika kuwa, siku moja Hassan na Hussein wajukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw) walipatwa na maradhi wakiwa watoto wadogo.
-
Kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Bibi Zainab AS
Dec 31, 2019 07:12Bibi Zainab (sa) alijipamba kwa sifa na fadhila nyingi nzuri na za kupigiwa mfano kadiri kwamba sifa hizo bora zilimfanya kuwa bibi mwema aliyepaswa kuigwa na watu wengine. Alikuwa na tabia, fadhila na maadili mema mengi yaliyofanya kuwa na sifa za kipekee miongoni mwa watu na jamii aliyoishi ndani yake.
-
Sheikh Maulid Hussein Kundya na kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husain AS - Sauti
Oct 21, 2019 12:11Mwaka huu kama ilivyo miaka mingine yote, kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain AS zimefanyika kwa kufana mno katika kona zote za dunia. Hapa tumekuwekea mawaidha ya Sheikh Maulid Hussein Kundya wa Arusha Tanzania kuhusu masaibu wa Imam Husain AS huko Karbala katika mwaka wa 61 Hijria.
-
Kujibu upotoshaji wa BBC, Arubaini ya Imam Husain AS si kueneza ukahaba + Sauti
Oct 17, 2019 11:30Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuhu. Wapenzi wasikilizaji, neno mashaya hivi sasa limeingia katika msamiati wa kidini na kupata nguvu hasa kati ya jamii ya Waislamu ya wapenzi na maashiki wakubwa wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Kufa shahidi Hadhrat Ruqayyah binti Hussein (as)
Oct 15, 2019 11:04Tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria ilitokea hamasa na mapambano makubwa yatakayobakia hai katika historia ya mwanadamu.
-
Upeo wa kimataifa wa Arubaini ya Imam Hussein (as) + Video
Oct 14, 2019 14:20Arubaini ya Imam Hussein (as) imekuwa ni ya kimataifa na itaendelea kupanuka zaidi katika upeo huo. Hii ni damu ya Hussein bin Ali (as) ambayo licha ya kupita miaka 1400, ingali inachemka na kuendelea kuwa mpya na hai zaidi siku baada ya nyingine. Huu ndio ujumbe ule ule wa Siku ya Ashura uliopazwa kupitia koo za Aba Abdillah al-Hussein (as) na Bibi Zainab (sa) katika kipindi kigumu zaidi cha upweke wao. Pamoja na hayo, hii leo ujumbe huo umeenea na kufika katika kila pembe ya dunia.
-
Jumanne, tarehe 10 Septemba, 2019
Sep 10, 2019 02:35Leo ni Jumanne tarehe 10 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria mwafaka na tarehe 10 Septemba mwaka 2019.