-
Leo ni siku ya Ashura ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume, Imam Husain AS
Sep 19, 2018 23:23Alkhamisi ya leo ya tarehe 20 Septemba 2018 Milaadia inasadifiana na mwezi kumi Muharram 1440 Hijria, siku ya Ashura ya kukumbuka alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, mmoja wa mabwana wawili wa vijana wa peponi, Imam Husain AS.
-
Jumanne, 18 Septemba, 2018
Sep 17, 2018 23:25Leo ni Jumanne tarehe 8 Muharram 1440 Hijria sawa na Septemba 18, 2018.
-
Jumatatu, 17 Septemba, 2018
Sep 16, 2018 21:54Leo ni Jumatatu tarehhe 7 Muharram 1440 Hijria sawa na 17 Septemba 2018.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (3)
Sep 16, 2018 05:58Miongoni mwa maswali yanayoulizwa kuhusiana na harakati ya mapambano Imam Hussein (as) ni kwamba, kwa nini Imam Hassan al Mujtaba (as) alifanya suluhu na Muawiya bin Abi Sufiyan lakini Imam Hussein (as) hakufanya suluhu na Yazid bin Muawiya?
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)
Sep 16, 2018 05:57Je, tukio la Ashuraa na mauaji ya mjukuu wa Mtume (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika siku ya tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria lina umuhimu katika utamaduni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia peke yao? Au la, madhehebu nyingine za Kiislamu pia kama madhehebu za Ahlusunna, zinajali sana tukio hilo na kuumizwa mno na masaibu ya Hussein bin Ali na dhulma zilizofanywa na madhalimu dhidi ya familia hiyo ya Mtume?
-
Imam Hussein AS; mhimili wa umoja
Sep 15, 2018 07:33Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku hizi za Muharram na tukio la kuuawa shahidi Imam Hussein AS pamoja na masahaba zake katika jangwa la Karbala mwaka 61 Hijria.
-
Jumatano tarehe 12 Septemba 2018
Sep 12, 2018 00:07Leo ni Jumatano tarehe Pili Muharram mwaka 1440 Hijria sawa na Septemba 12, 2018.
-
Maswahaba wa Imam Hussein AS-01
Sep 11, 2018 03:19Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachozungumzia matukufu na ubora wa masahaba wa Imam Hussein bin Ali (as) na imani yao thabiti, kinachokujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Nafasi ya Qur'ani Tukufu katika mapambano ya Imam Husain AS (1)
Sep 11, 2018 03:16Mapambano ya Karbala na Hamasa ya Imam Husain AS alikuwa ni mapinduzi ya kipekee ambayo yaliweza kwa haraka mno kushinda mapinduzi mengine yote, kuwafedhehesha madhalimu, kufichua uovu wao na kusafisha vumbi la propaganda chafu lililokuwa limefunika uhakika wa dini tukufu ya Kiislamu.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (1)
Sep 11, 2018 03:12Katika kipindi hiki cha Maswali Kuhusu Tukio la Ashura, tunakusudia kujibu baadhi ya maswali ambayo huenda yakawa yanaulizwa na baadhi ya watu kuhusiana na tukio hili.