-
Jumamosi, 28 Oktoba, 2023
Oct 28, 2023 02:23Leo ni Jumamosi tarehe 12 Mfunguo Saba Rabiuthani 1445 Hijria mwafaka na tarehe 28 Oktoba 2023 Miladia.
-
Kasisi wa Kiafrika: Imam Khomeini (RA) alikuwa kiongozi mwenye nguvu na fikra ya kimataifa
Jun 04, 2023 06:19Kasisi wa Afrika Kusini ametangaza kwamba fikra za mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ayatullah Ruhullah Khomeini zilikuwa na taathira kubwa kwa watu na siasa nchini Iran na meneo menginezo ya dunia.
-
Jumatatu, tarehe 20 Machi, 2023
Mar 20, 2023 02:17Leo ni Jumatatu tarehe 27 Shaaban 1444 Hijria sawa na tarehe 20 Machi mwaka 2023.
-
Ijumaa, tarehe 3 Februari, 2023
Feb 03, 2023 03:05Leo ni Ijumaa tarehe 12 mwezi Rajab 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 3 Februari 2023.
-
Ijumaa tarehe 23 Septemba 2022
Sep 23, 2022 02:45Leo ni Ijumaa tarehe 26 Safar 1444 Hijria imayosadifiana na tarehe 23 Septemba 2022.
-
Mapitio ya barua ya kihistoria ya Imam Khomeini (MA) kwa Gorbachev
Sep 01, 2022 10:15Mikhail Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa Muungano wa Jamhuri za Kisoshalisti za Sovieti (Union of Soviet Socialist Republics, USSR) alifariki dunia Jumanne usiku katika hospitali moja mjini Moscow, Russia akiwa na umri wa miaka 91 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
-
Rais Raisi: Imam Khomeini (MA) aliwaamini wananchi
Aug 23, 2022 08:11Rais Ebrahim Raisi amesema, mtazamo wa Imam Khomeini (MA) kwa wananchi haukuwa mtazamo wa kiheshima tu, kwa sababu aliwaamini kiudhati wananchi na akisisitiza kuwa kutokana na imani juu ya Mwenyezi Mungu, kuwatumikia wananchi kunamfanya mtu awe karibu na Yeye Mola.
-
Wanaharakati wa Palestina watangaza upya utiifu wao kwa malengo ya Imam Khomeini MA
Jun 02, 2022 07:10Wanaharakati na wakuu wa mashirika ya wananchi ya kutetea taifa la Palestina hapa Iran wamefika katika Haram Takatifu ya Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu- na kutangaza upya utiifu wao kwa malengo yake matukufu na pia kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kadhia ya kuunga mkono taifa la Palestina.
-
Alkhamisi tarehe 5 Mei 2022
May 05, 2022 02:19Leo ni Akhamisi tarehe 3 Shawwal 1443 Hijria sawa na tarehe 5 Mei mwaka 2022.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds; ubunifu wa kuhuisha kadhia ya Palestina
Apr 30, 2022 03:09Jana tarehe 29 Aprili ilisadifiana na mwezi 27 Ramadhani ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu, siku ambayo ni maalumu kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds.