-
Mapinduzi ya Kiislamu na Uhuishaji Kigezo cha Kufuatwa na Mwanamke Muislamu
Feb 16, 2022 03:59Katika kipindi cha miaka 43 tokea ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hadi sasa, zimefanyika juhudi athirifu za kuhuisha heshima ya wanawake.
-
Imam Khomeini alihuisha Uislamu na kuwapa Waislamu utambulisho
Feb 09, 2022 04:32Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iran amesema hayati Imam Khomeini- Mwenyezi Mungu Amrehemu, muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alihuisha Uislamu na kuwapa Waislamu utambulisho
-
Jumatatu tarehe 24 Januari 2022
Jan 24, 2022 02:39Leo ni Jumatatu tarehe 21 Jamadithani 1443 Hijria sawa na tarehe 24 Januari 2022.
-
Jumamosi, 22 Januari, 2022
Jan 22, 2022 02:35Leo ni Jumamosi tarehe 19 Mfunguo Tisa Jamadithani 1443 Hijria mwafaka tarehe 22 Januari 2022.
-
Ijumaa tarehe 21 Januari 2022
Jan 21, 2022 18:03Leo ni Ijumaa tarehe 18 Jamadithani 1443 Hijria sawa na Januari 21 mwaka 2022.
-
Jumanne tarehe 26 Oktoba mwaka 2021
Oct 26, 2021 02:29Leo ni Jumanne tarehe 19 Rabiul Awwal 1443 Hijria sawa na Oktoba 26 mwaka 2021.
-
Alkhamisi tarehe 23 Septemba 2021
Sep 23, 2021 04:12Leo ni Alkhamisi tarehe 16 Safar 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 23 Septemba 2021.
-
Ijumaa tarehe 25 Jun 2021
Jun 25, 2021 03:27Leo ni Ijumaa tarehe 14 Dhulqaada 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 25 Juni mwaka 2021.
-
Wiki ya Imam Khomeini yaadhimishwa nchini Nigeria
Jun 08, 2021 02:52Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu na taasisi za elimu ya juu za Nigeria wameandaa Wiki ya Imam Ruhullah Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika jimbo la Bauchi, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Taathira za fikra za Imam Khomeini MA katika eneo la Asia Magharibi
Jun 04, 2021 09:35Ijumaa ya leo ya tarehe 4 Juni imesadifiana na mwaka wa 32 wa kufariki dunia mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Moja ya maudhui muhimu zinazozungumziwa leo hii ni taathira za fikra na sira ya Imam Khomeini MA katika eneo zima la Asia Magharibi.