-
Iran yazilaumu nchi zinazounga mkono vikwazo vya Marekani dhidi yake
Mar 03, 2019 12:22Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya sheria na ya kimataifa amesema kuwa nchi ambazo zinaunga mkono vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa la Iran zinavunja roho ya mshikamano kati ya Waislamu.
-
Imarati yashutumiwa kufanya njama za kurejesha utawala wa kidikteta Tunisia
Mar 01, 2019 23:17Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia amefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unafanya njama za kufelisha juhudi za kuimarisha demokrasia nchini humo kupitia hilo za kuyafelisha mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo na kuurejesha madarakani utawala wa kidikteta.
-
Morocco, Saudia na Imarati zaingia katika ugomvi mkubwa, Rabat yawaita nyumbani mabalozi wake
Feb 09, 2019 21:46Morocco, Saudia na Imarati zimeingia katika ugomvi mkubwa na kuifanya serikali ya Rabat iwaite nyumbani mabalozi wake kutoka Abu Dhabi na Riyadh.
-
Wayemen wa mji wa Aden waandamana kulaani hatua haribifu za Imarati
Jan 28, 2019 04:42Familia za watu wanaoshikiliwa katika jela za siri za askari wa Imarati nchini Yemen, zimefanya maandamano ya kulaani hatua haribifu za askari hao mjini Aden, kusini mwa Yemen.
-
Rights Radar: Umoja wa Mataifa uokoe wafungwa wa Kiyemeni katika jela za Imarati
Jan 17, 2019 12:46Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Radar for Human Rights limeutaka Umoja wa Mataifa ufanye jitihada kuokoa maisha ya mahabusu wa Kiyemeni wanaoshikiliwa katika jela za Imarati katika mji wa Aden.
-
Shirika la Etihad la Imarati kuwatimua marubani 50 mwezi huu kutokana na hali mbaya ya uchumi
Jan 11, 2019 23:24Shirika la ndege la Etihad la nchini Imarati limetangaza kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi huu wa Januari litawapiga kalamu nyekundu marubani 50 kutokana na matatizo ya kiuchumi yaliyolikumba shirika hilo katika miaka miwili iliyopita.
-
Baada ya Imarati, Bahrain nayo yafungua tena ubalozi wake Syria
Dec 28, 2018 12:29Serikali ya Bahrain imefuata nyayo za Umoja wa Falme za Kiarabu na kufungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Imarati yafungua upya ubalozi wake nchini Syria baada ya miaka 7
Dec 27, 2018 11:34Umoja wa Falme za Kiarabu umefungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Qatar: Saudi Arabia na Imarati ndio wahatarishaji wakuu wa amani ya Mashariki ya Kati
Dec 17, 2018 23:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu ndio wahatarishaji wakuu wa utulivu na usalama wa nchi za Mashariki ya Kati na lengo lao kuu ni kuvunja amani ya nchi zote za eneo hilo.
-
Rais wa zamani wa Tunisia: Saudia na Imarati ni hatari kwa demokrasia
Nov 30, 2018 11:38Rais wa zamani wa Tunisia ametahadharisha kuhusu njama zinazofanywa na Saudi Arabia na Imarati kwa ajili ya kuingilia uchaguzi mkuu ujao nchini humo.