Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Jenerali Safavi: Israel 'inayoporomoka' imeshindwa vibaya na muqawama

    Jenerali Safavi: Israel 'inayoporomoka' imeshindwa vibaya na muqawama

    Jun 30, 2024 23:30

    Mshauri Mkuu wa Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala kijeshi amesema mrengo wa muqawama umefanikiwa kuushinda na kuusababishia vipigo utawala wa Kizayuni ambao upo katika ncha ya kuporomoka na kusambaratika.

  • Wagombea 2 wa urais Iran kushiriki katika midahalo miwili

    Wagombea 2 wa urais Iran kushiriki katika midahalo miwili

    Jun 30, 2024 03:27

    Wagombea wawili wa kiti cha rais nchini Iran, Masoud Pezeshkian na Saeed Jalili wanatazamiwa kushiriki midahalo miwili ya urais kabla ya kufanyika duru ya pili ya uchaguzi huo.

  • Uchaguzi wa rais wa Iran waingia duru ya pili; Pezeshkian kuchuana na Jalili

    Uchaguzi wa rais wa Iran waingia duru ya pili; Pezeshkian kuchuana na Jalili

    Jun 29, 2024 09:26

    Matokeo rasmi na ya mwisho ya duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati wa Iran yanaonesha kuwa zoezi hilo litaingia katika duru ya pili.

  • Iran yatoa onyo kali kuhusu vitisho vya Israel dhidi ya Lebanon

    Iran yatoa onyo kali kuhusu vitisho vya Israel dhidi ya Lebanon

    Jun 29, 2024 09:25

    Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametahadharisha dhidi ya jaribio la utawala wa Kizayuni wa Israel la kupanua wigo wa vita na jinai katika maeneo mengine kwa lengo la kufidia kushindwa kwake katika Ukanda wa Gaza.

  • Uchaguzi wa rais wa Iran waingia duru ya pili, Wairani kupata rais mpya baada ya Ijumaa ijayo

    Uchaguzi wa rais wa Iran waingia duru ya pili, Wairani kupata rais mpya baada ya Ijumaa ijayo

    Jun 29, 2024 04:37

    Matokeo rasmi na ya mwisho ya duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati wa Iran yanaonesha kuwa zoezi hilo limeingia katika duru ya pili.

  • Kuendeleza uhusiano kati ya Iran na Russia; Mhimili wa mashauriano ya Ali Bagheri Kani na Sergey Lavrov

    Kuendeleza uhusiano kati ya Iran na Russia; Mhimili wa mashauriano ya Ali Bagheri Kani na Sergey Lavrov

    Jun 29, 2024 03:48

    Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia wamesisitiza udharura wa kupanuliwa uhusiano kati ya Tehran na Moscow.

  • Serikali ya Biden yakiri kudumisha siasa za vikwazo dhidi ya Iran

    Serikali ya Biden yakiri kudumisha siasa za vikwazo dhidi ya Iran

    Jun 28, 2024 22:55

    Matthew Miller, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, alitangaza katika mkutano na waandishi wa habari siku ya Jumatano sambamba na siasa za undumakuwili za Washington kuhusu wananchi wa Iran, kwamba nchi hiyo ya imeweka vikwazo zaidi ya 600 dhidi ya serikali na mashirika ya Iran.

  • Qaani: Raisi, Abdollahian walithibitisha kuwa Iran inaweza kuikabili Marekani

    Qaani: Raisi, Abdollahian walithibitisha kuwa Iran inaweza kuikabili Marekani

    Jun 27, 2024 23:52

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesifu na kupongeza sifa za kipekee walizojipambanua nazo Shahidi Rais Sayyid Ebrahim Rais na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian, kwa kuiunga mkono kambi ya muqawama na kukabiliana na ubeberu wa Marekani.

  • Iran yalaani jaribio la mapinduzi lililofeli Bolivia

    Iran yalaani jaribio la mapinduzi lililofeli Bolivia

    Jun 27, 2024 23:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani jaribio la mapinduzi lililofeli nchini Bolivia.

  • Kani: Sera ya ujirani mwema ya Shahidi Raisi iliweka wazi sura mpya ya Iran

    Kani: Sera ya ujirani mwema ya Shahidi Raisi iliweka wazi sura mpya ya Iran

    Jun 26, 2024 10:13

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, sera kuu za Jamhuri ya Kiislamu zimejengeka katika msingi wa kuwa na ujirani mwema na kupanua mahusiano na majirani zake katika eneo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS