Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS

    Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS

    Aug 24, 2023 04:23

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amewasili Pretoria, mji mkuu wa kiutawala wa Afrika Kusini, alikoenda kushiriki mkutano wa kilele wa Jumuiya ya BRICS.

  • Raisi: Ushirikiano wa Iran na Algeria ni kwa maslahi ya umma wa Kiislamu

    Raisi: Ushirikiano wa Iran na Algeria ni kwa maslahi ya umma wa Kiislamu

    Aug 23, 2023 03:37

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria azma ya taifa hili ya kuimarisha uhusiano wake na Algeria na kusisitiza kuwa, ushirikiano wa nchi mbili hizi ni kwa maslahi ya mataifa haya na ulimwengu wa Kiislamu kwa jumla.

  • Iran yazindua droni ya 'Mohajir-10' inayoruka kwa saa 24

    Iran yazindua droni ya 'Mohajir-10' inayoruka kwa saa 24

    Aug 22, 2023 23:08

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua ndege isiyo na rubani yenye uwezo wa kuruka kwa saa 24 mfululizo bila kusimama.

  • Iran yazalisha bidhaa ya pili ya kimkakati katika sekta ya nyuklia

    Iran yazalisha bidhaa ya pili ya kimkakati katika sekta ya nyuklia

    Aug 22, 2023 22:54

    Maji mazito ni bidhaa ya pili ya kimkakati ya sekta ya nishati ya nyuklia baada ya uranium duniani na Iran ni moja kati ya nchi tano zinazozalisha bidhaa hii kwa usafi wa hali ya juu kiasi kwamba, nchi nyingi zinatazamia kununua maji mazito ya Iran licha ya vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak

    Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak

    Aug 21, 2023 07:39

    Balozi wa Kenya mjini Tehran ametembelea viwanda vya uzalishaji katika mji wa Arak, makao makuu ya mkoa wa Markazi, unaofahamika kama mji mkuu wa viwanda wa Iran.

  • Safari ya Amirabdollahian nchini Saudi Arabia; Tehran na Riyadh ziko tayari kuwa na uhusiano imara

    Safari ya Amirabdollahian nchini Saudi Arabia; Tehran na Riyadh ziko tayari kuwa na uhusiano imara

    Aug 21, 2023 01:20

    Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye karibuni ametembelea Saudi Arabia kwa mwaliko rasmi wa Faisal bin Farhan, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, siku ya Ijumaa alikutana na kuzungumza na Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia mjini Jeddah.

  • Iran: Mapinduzi, vikwazo ni vyombo vya mabeberu vya kuyakandamizi mataifa huru

    Iran: Mapinduzi, vikwazo ni vyombo vya mabeberu vya kuyakandamizi mataifa huru

    Aug 19, 2023 23:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, madola ya kibeberu na ya kiistikbari yanatumia kila njia kuyakandamiza mataifa huru duniani.

  • "Kupanga mapinduzi, kuwaunga mkono madikteta ni katika sera za UK, US"

    Aug 19, 2023 07:55

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kupanga na kufadhili mapinduzi, kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine na kuwaunga mkono madikteta ni katika sera kuu za Marekani na Uingereza katika kipindi chote cha historia.

  • Iran, Saudia zaafikiana kuimarisha usalama na ustawi wa Asia Magharibi

    Iran, Saudia zaafikiana kuimarisha usalama na ustawi wa Asia Magharibi

    Aug 19, 2023 00:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian amekutana na kufanya mazungumzo mjini Jeddah na Mohammed bin Salman, Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, ambapo wametilia mkazo wajibu wa kustawishwa zaidi uhusiano wa kiusalama na maendeleo ya nchi mbili hizi na eneo zima la Asia Magharibi.

  • Raisi: Bila juhudi za IRGC, bara Ulaya lingetawaliwa na ISIS

    Raisi: Bila juhudi za IRGC, bara Ulaya lingetawaliwa na ISIS

    Aug 19, 2023 00:22

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amepongeza nafasi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika kukabiliaina na ugaidi katika eneo la Asia Magharibi na kueleza kuwa, bila jitihada za SEPAH, nchi za Ulaya hivi sasa zingekuwa zimetamalakiwa na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS