Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Raisi na Putin wasisitiza kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili na kimataifa

    Raisi na Putin wasisitiza kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili na kimataifa

    Aug 18, 2023 01:07

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazungumzo ya simu na kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa.

  • Iran na Saudia zatilia mkazo udharura wa kuanza ukurasa mpya wa uhusiano baina yao

    Iran na Saudia zatilia mkazo udharura wa kuanza ukurasa mpya wa uhusiano baina yao

    Aug 18, 2023 01:06

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudi Arabia wametilia mkazo wajibu wa kuanza ukurasa mpya katika uhusiano wa Tehran na Riyadh na kutekelezwa kikamilifu vipengee vya maafikiano vilivyotiwa saini baina ya pande mbili.

  • Idara ya Mahakama yawalaumu walionyamazia kimya shambulio la kigaidi la Shah Cheragh

    Idara ya Mahakama yawalaumu walionyamazia kimya shambulio la kigaidi la Shah Cheragh

    Aug 15, 2023 07:15

    Msemaji wa Idara ya Mahakama ya Iran ameyalaumu madola na mashirika yanayodai kutetea haki za binadamu kwa kunyamazia kimya shambulio la kigaidi katika Haram ya Shah Cheragh ya kusini mwa Iran.

  • Raisi: US, nchi za Ulaya zilipanga ghasia za mwaka jana Iran

    Raisi: US, nchi za Ulaya zilipanga ghasia za mwaka jana Iran

    Aug 15, 2023 04:26

    Rais wa Iran ameikosoa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya kwa kuratibu machafuko yaliyoshuhudiwa mwaka jana hapa nchini Iran kwa kisingizo cha kifo cha Mahsa Amini.

  • UN yalaani shambulizi la kigaidi mjini Shiraz, kusini mwa Iran

    UN yalaani shambulizi la kigaidi mjini Shiraz, kusini mwa Iran

    Aug 15, 2023 00:00

    Stéphane Dujarric, Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani shambulio la kigaidi katika haram ya Sayyid Ahmad Bin Musa (as) maarufu kama Shah Cheragh katika mji wa Shiraz mkoani Fars, kusini mwa Iran.

  • Mapatano madhubuti ya Iran kuhusu kuachiliwa mali zake na kubadilishana wafungwa na Marekani

    Mapatano madhubuti ya Iran kuhusu kuachiliwa mali zake na kubadilishana wafungwa na Marekani

    Aug 12, 2023 04:46

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kuhusu kuachiwa mali za Iran na pia kufunguliwa wafungwa wake kadhaa waliokuwa wamezuiliwa na Marekani kinyume cha sheria.

  • Iran na Afrika Kusini katika mkondo wa kuhuisha kikamilifu mahusiano

    Iran na Afrika Kusini katika mkondo wa kuhuisha kikamilifu mahusiano

    Aug 11, 2023 07:34

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii aliekea Pretoria Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Kamisheni ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika Kusini na kukutana na viongozi mbalimbali wa taifa hilo.

  • Raisi: Marekani na Israel zinakula njama za kuvuruga usalama wa eneo

    Raisi: Marekani na Israel zinakula njama za kuvuruga usalama wa eneo

    Aug 09, 2023 08:43

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikosi vya ulinzi na usalama vya Jamhuri ya Kiislamu si tu vinalinda usalama wa taifa hili, bali pia usalama na uthabiti wa nchi nyingine za eneo la Asia Magharibi.

  • Iran yakosoa tuhuma zisizo na maana za Uingereza dhidi ya IRGC

    Iran yakosoa tuhuma zisizo na maana za Uingereza dhidi ya IRGC

    Aug 07, 2023 23:39

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali madai yasiyo na msingi ya Uingereza dhidi Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC).

  • Iran: Chokochoko za NATO ni miongoni mwa sababu kuu za vita vya Ukraine

    Iran: Chokochoko za NATO ni miongoni mwa sababu kuu za vita vya Ukraine

    Aug 07, 2023 09:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amegusia juhudi za Tehran kuelekea suluhisho la kisiasa la mgogoro wa Ukraine na kusisitiza kuwa muungano wa kijeshi wa NATO unaoongozwa na Marekani na chokochoko ulizofanya ni miongoni mwa sababu zilizopelekea kuzuka mgogoro huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS