Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Jumamosi, 30 Septemba, 2023

    Jumamosi, 30 Septemba, 2023

    Sep 29, 2023 22:56

    Leo ni Jumamosi tarehe 14 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1445 Hijria mwafaka na tarehe 30 Septemba 2023 Miladia.

  • Ukumbusho na indhari ya Iran kwa UN kuhusu utambulisho na matokeo ya vitisho vya utawala wa Kizayuni

    Ukumbusho na indhari ya Iran kwa UN kuhusu utambulisho na matokeo ya vitisho vya utawala wa Kizayuni

    Sep 29, 2023 00:29

    Amir Saeid Iravani Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amewaandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kuhusu matamshi ya vitisho ya karibuni ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.

  • Raisi: Kurushwa kwa mafanikio satalaiti

    Raisi: Kurushwa kwa mafanikio satalaiti "Nour 3" ni ishara nyingine ya kushindwa mradi wa vikwazo vya adui

    Sep 28, 2023 04:22

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amepongeza kurushwa kwa mafanikio satalaiti Nour-3 katika obiti akikutaja kuwa ni ushindi wa taifa na ushahidi wa kushindwa mradi wa vikwazo na vitisho vya adui.

  • Jerusalem Post: Satalaiti ya

    Jerusalem Post: Satalaiti ya "Nour 3" inaimarisha uwezo wa anga wa Iran

    Sep 27, 2023 23:30

    Gazeti la Jerusalem Post la Israel limeandika kuwa, kurushwa angani Satalaiti Nour 3 ni sehemu ya mafanikio mapya ya kiteknolojia ambayo Iran inatumia kudhihirisha uwezo wake.

  • Iran yatilia mkazo kusitishwa hatua za mabavu dhidi ya nchi zinazostawi

    Iran yatilia mkazo kusitishwa hatua za mabavu dhidi ya nchi zinazostawi

    Sep 27, 2023 12:56

    Mshauri Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza umuhimu wa kubadilishwa hali na mazingira ya kimataifa kupitia kukomesha hatua za mabavu za upande mmoja dhidi ya nchi zinazostawi duniani.

  • Spika: Uanachama wa Iran katika BRICS una manufaa ya kisiasa na kiuchumi

    Spika: Uanachama wa Iran katika BRICS una manufaa ya kisiasa na kiuchumi

    Sep 26, 2023 10:22

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kupewa uanachama Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kundi la BRICS kuna umuhimu mkubwa wa kisiasa, kiuchumi na hata kijiografia.

  • Idadi ya watalii wanaokuja Iran yaongezeka kwa asilimia 38

    Idadi ya watalii wanaokuja Iran yaongezeka kwa asilimia 38

    Sep 26, 2023 09:15

    Naibu Waziri wa Turathi za Kitamaduni, Utalii na Sanaa wa Iran amesema watalii wa kigeni zaidi ya milioni 3.3 waliitembelea Jamhuri ya Kiislamu katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa Kiirani 1402 (Machi 21-Septemba 22).

  • Raisi: Iran haina mpango wa kumiliki silaha za nyuklia

    Raisi: Iran haina mpango wa kumiliki silaha za nyuklia

    Sep 24, 2023 23:42

    Rais wa Iran amepuuzilia mbali madai ya madola ya Magharibi kwamba Jamhuri ya Kiislamu inataka kuunda silaha za nyuklia.

  • Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Russia na Uturuki wakutana New York kujadili mgogoro wa Syria

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Russia na Uturuki wakutana New York kujadili mgogoro wa Syria

    Sep 23, 2023 23:45

    Sambamba na juhudi zinazoendelea za kidiplomasia za kuushughulikia mgogoro wa Syria, mawaziri wa mambo ya nje wa Iran, Russia na Uturuki wamefanya mkutano wa pande tatu katika muktadha wa Mazungumzo ya Astana kwa ajili ya kujadili njia za kurejesha amani na utulivu katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Guterres apongeza azma ya Iran kutuma vikosi vyake kulinda amani duniani

    Guterres apongeza azma ya Iran kutuma vikosi vyake kulinda amani duniani

    Sep 23, 2023 04:14

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kwa mikono miwili pendekezo la Rais Ebrahim Raisi wa Iran la kuwa tayari wanajeshi wa Jamhuri ya Kiislamu kujiunga na vikosi vya kulinda amani kote duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS