Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran ina azma ya kurejesha uhusiano wa kibiashara, kiuchumi na Saudi Arabia

    Iran ina azma ya kurejesha uhusiano wa kibiashara, kiuchumi na Saudi Arabia

    Apr 27, 2023 07:22

    Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda, Migodi na Kilimo cha Iran (ICCIMA) ametoa wito wa kurejeshwa kwa haraka uhusiano wa kibiashara na kiuchumi na Saudi Arabia na kukuzwa ushirikiano kati ya wafanyabiashara na wenye viwanda vya sekta binafsi za nchi hizo mbili.

  • Kamanda: Israel itapata jibu kali ikithubutu kuishambulia Iran

    Kamanda: Israel itapata jibu kali ikithubutu kuishambulia Iran

    Apr 27, 2023 06:22

    Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa makombora ya Iran yako tayari kulenga kitovu cha utawala wa Kizayuni wa Israel iwapo utawala huo au nchi yoyote itajaribu kutishia usalma wa anga ya Iran.

  • Iran: Tunapinga kuendelea vita nchini Ukraine

    Iran: Tunapinga kuendelea vita nchini Ukraine

    Apr 27, 2023 02:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inapinga vita vya Ukraine na inaunga mkono juhudi za kusimamishwa vita na kurejea usalama na amani nchini humo.

  • Amir-Abdollahian: Oman ina ubunifu mzuri kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran

    Amir-Abdollahian: Oman ina ubunifu mzuri kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran

    Apr 26, 2023 02:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, serikali ya Oman ina ubumifu mzuri kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran, ubunifu ambao utasaidia kurejea mazungumzo katika suala hilo.

  • Iran na Imarati zatilia mkazo kustawisha ushirikiano baina yao

    Iran na Imarati zatilia mkazo kustawisha ushirikiano baina yao

    Apr 22, 2023 22:02

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) wamesisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali.

  • Nasser Kanaani Chafi: Ukombozi wa Quds tukufu umekaribia

    Nasser Kanaani Chafi: Ukombozi wa Quds tukufu umekaribia

    Apr 22, 2023 22:01

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ukombozi wa mji mtakatifu wa Quds umekaribia na kwamba, muda si mrefu eneo hilo takatifu litakombolewa na kuondoka katika udhibiti wa utawala ghasibu wa Israel.

  • Hizbullah: Ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran haikuaguka

    Hizbullah: Ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran haikuaguka

    Apr 22, 2023 09:03

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: matukio ya hivi karibuni ya Palestina na eneo na milingano uliolazimishwa kuwepo na Muqawama vimezima ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran.

  • Meja Jenerali Mzayuni: Nguvu ya Iran dhidi ya Israel imeongezeka mara mia kadhaa; tunahofia jibu la Iran

    Meja Jenerali Mzayuni: Nguvu ya Iran dhidi ya Israel imeongezeka mara mia kadhaa; tunahofia jibu la Iran

    Apr 19, 2023 23:34

    Meja Jenerali katika jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa Tel Aviv haina uwezo wa kukabiliana kijeshi na miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani na kusema: Nguvu ya Iran dhidi ya utawala wa Israel imeongezeka mara mia kadhaa. Amesema, hujuma yoyote dhidi ya Iran itapelekea kuangamizwa kikamilifu utawala huo.

  • "Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu"; sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kufeli sera za Marekani Asia Magharibi

    Apr 18, 2023 09:17

    Tarehe 5 Aprili Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Wanaoikalia Quds kwa mabavu wanakaribia kuanguka

    Wanaoikalia Quds kwa mabavu wanakaribia kuanguka

    Apr 15, 2023 22:13

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ujumbe wa maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds ni kutangaza mshikamano na Umma wa Kiislamu na kwamba jitihada zinazofanywa na tawala za Kiarabu za kuhuisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel hazitadhamini usalama wa utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS