-
Amir-Abdollahian: Kustawisha uhusiano na Russia kuna umuhimu kwa Iran
Mar 15, 2022 10:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, bila kujali matukio na mabadiliko yoyote yanayojiri kimataifa, kustawisha uhusiano na Russia kuna umuhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua maudhui mpya katika mazungumzo ya Vienna
Mar 13, 2022 04:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameijia juu Marekani kwa kuibua maudhui nyingine mpya kwenye mazungumzo ya Vienna kati ya Jamhuri ya Kiislamu na kundi la 4+1, ambayo lengo lake kuu ni kuondolewa Tehran vikwazo vya kidhalimu.
-
Iran yapinga tuhuma zisizo na msingi za Arab League
Mar 11, 2022 04:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekadhibisha madai yaliyotolewa dhidi ya taifa hili katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Harakati ya Palestina: Hakuna nchi inayounga mkono ukombozi wa Quds kama Iran
Mar 11, 2022 04:33Harakati ya Mujahideen ya Palestina imesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono kwa dhati suala la kukombolewa kwa mji mtukufu wa Quds, unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Iran: Kujitakia makuu Marekani kusiathiri masuala muhimu Vienna
Mar 10, 2022 23:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema masuala ya msingi na kuondolewa Iran vikwazo havipaswi kuathiriwa na tabia ya kujitakia makuu Marekani.
-
Mazungumzo baina ya Iran na Oman kuhusu usalama wa baharini
Mar 10, 2022 00:40Kikao cha Tatu cha Makamanda wa Gadi ya Ufukweni ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran na Oman kimefanyika mjini Muscat na kujadili usalama wa baharini. Maudhui kuu iliyojadiliwa na nchi hizi mbili ndugu katika kikao hicho ni kuzidi kushirikiana na kuwa na uratibu wa pamoja na kulinda usalama wa mpaka wa baharini wa nchi hizo.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuiridhia Marekani ni kosa kubwa na pigo kwa nguvu za kisiasa
Mar 10, 2022 08:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, kuiridhia Marekani au dola jengine lolote lile kwa ajili ya kuepukana na vikwazo ni kosa kubwa na pigo kwa nguvu za kisiasa.
-
Iran yalaani shambulio la roketi la Israel dhidi ya Damascus, Syria
Mar 09, 2022 06:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulizi la roketi la utawala haramu wa Israel dhidi ya mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
Rais Ebrahim Raisi: Wananchi wa Ukraine ni wahanga wa siasa za kishetani za Marekani
Mar 07, 2022 00:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Ukraine wamekuwa wahanga wa siasa za kishetani za Marekani.
-
Ulyanov: Ziara ya Rafael Grossi nchini Iran imefanikiwa
Mar 07, 2022 00:47Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna, Austria amesema kuwa safari ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) nchini Iran imefanikiwa.