-
Mapambano yamezuia kusahaulika kadhia ya Quds
May 05, 2021 07:09Mkuu wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Quds Tukufu amesema Marekani ilijaribu kusambaratisha kadhia ya ukombozi wa Quds (Jerusalem) kupitia njama mpya katika eneo lakini imefeli kutokana na kuwepo mhimili wa muqawama au mapambano ya Kiislamu.
-
Iran: Mazungumzo ya Vienna yatasitishwa US ikiendelea kushupalia vikwazo
May 05, 2021 03:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mazungumzo ya Tehran na kundi la 4+1 yanayoendelea huko Vienna, Austria yatasimamishwa iwapo Marekani itaendelea kushupalia suala la kuwekewa vikwazo taifa hili.
-
Abdollahian: Iran ina stratejia maalumu ya kuwaunga mkono Wapalestina
May 05, 2021 03:02Mshauri maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Iran ina stratejia maalumu, thabiti na kabambe ya kuwaunga mkono na kuwasaidia wananchi wa Palestina.
-
Iran: Madai mapya ya wabunge wa Marekani yanalenga kuathiri mazungumzo ya JCPOA
May 04, 2021 07:22Mjumbe mmoja wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, msimamo mpya wa wabunge 220 wa Marekani kuhusu haki za binadamu nchini Iran unalenga kutoa taathira hasi kwa mazungumzo ya JCPOA.
-
Raisi: Shahidi Soleimani, chimbuko la ushindi mkabala wa maadui
May 03, 2021 21:04Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) alikuwa chanzo cha ushindi mtawalia dhidi ya maadui.
-
Iran ina nafasi muhimu katika kudumisha usalama wa Ghuba ya Uajemi
Apr 30, 2021 06:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina nafasi muhimu katika kudumisha usalama katika eneo zima la Ghuba ya Uajemi. Hayo yamesemwa na Shahriar Heidari Naibu Mwenyekiti wa Tume ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iran.
-
Kubadilika kikamilifu misimamo ya Saudia kuhusiana na Iran; sababu zake na jinsi kulivyopokelewa
Apr 30, 2021 04:28Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, amebadilisha kikamilifu na waziwazi msimamo wake kuhusiana na Iran kwa kusema: Iran ni nchi jirani; na Riyadh ina matumaini kwamba itaweza kuwa na uhusiano mzuri na Tehran.
-
Imarati yaunga mkono msimamo mpya wa Saudia kuhusu Iran
Apr 29, 2021 22:42Mrithi wa kiti cha ufalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ameelezea kufurahishwa kwake na msimamo mpya wa Mohammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kuhusu kuwa na uhusiano mzuri na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Biden akariri madai yasiyo na msingi kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran
Apr 29, 2021 07:39Rais Joe Biden wa Marekani amekariri tena madai yake yasiyo na msingi kuhusiana na miradi ya kuzalisha niishati ya nyuklia nchini Iran.
-
Qatar yakaribisha kwa mikono miwili msimamo wa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia kuhusu Iran
Apr 29, 2021 03:36Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amekaribisha kwa mikono miwili msimamo mpya wa Mohammad bin Salman mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia wa kuonyesha hamu iliyonayo nchi yake ya kuanzisha tena uhusiano na Iran.