-
Iran yataka Polisi ya Kimataifa (Interpol) iwakamate wauaji wa mashahidi Soleimani, Fakhrizadeh
Jan 12, 2021 01:36Msemaji wa Polisi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran imeikabidhi Polisi ya Kimataifa, Interpol, taarifa kuhusu watu wanne waliohusika katika mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran shahidi Mohsen Fakhrizadeh na pia watu wengine waliohusika katika mauaji ya shahidi Qassem Soleimani."
-
Indhari ya Hamas kuhusu njama ya Wazayuni kuharibu sehemu za Msikiti wa Al Aqsa
Jan 12, 2021 01:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetahadharisha kuhusu mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kubomoa sehemu za Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Iran haishughulishwi na mienendo miovu ya Trump katika siku zake hizi za mwisho
Jan 10, 2021 04:51Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu haibabaishwi wala haishughulishwi na mienendo miovu na ghalati ya Rais Donald Trump wa Marekani katika siku zake hizi za mwisho madarakani.
-
Yemen: Uhasama wa Magharibi kwa Iran umetokana na Tehran kuwaunga mkono Wapalestina
Jan 08, 2021 23:11Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa wa Yemen amekosoa vikali njama za kutaka kuundwa eti muungano dhidi ya Iran ikiwa ni sehemu ya mradi wa pamoja wa Waarabu, Israel na Marekani na kusisitiza kuwa, jitihada za namna hiyo zikasudia kuzuia uungaji mkono usio na kifani wa Tehran na kwa kadhia ya Palestina na Wapalestina.
-
Iran Yazindua kituo kikubwa cha chini ya ardhi cha makombora Ghuba ya Uajemi + VIDEO
Jan 08, 2021 08:28Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limezindua kituo kikubwa na cha kistratijia cha makombora chini ya ardhi katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Qatar: Mapatano na Saudia hayabadilishi uhusiano wetu na Iran
Jan 07, 2021 23:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema mapatano ya nchi yake na Saudia Arabia pamoja na waitifaki wake hayatabadilisha uhusiano mzuri ulioko baina ya Qatar na nchi zingine ikiwemo Iran.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ushahidi unaonesha kuwa Israel ilimuua shahidi Fakhrizadeh
Jan 06, 2021 12:27Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuna ushahidi wa kutosha na wenye mashiko unaoonesha kuwa utawala haramu wa Israel ulihusika na mauaji ya kigaidi dhidi ya mwanasayansi bingwa wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu, Mohsen Fakhrizadeh.
-
Iran yafanya mazoezi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani
Jan 06, 2021 04:43Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran linafanya mazoezi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani au drone.
-
Iran kuzalisha kilo 9 za urani iliyorutubishwa kwa 20% kwa mwezi
Jan 06, 2021 01:12Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) Ali Akbar Salehi amesema kuanzia sasa Jamhuri ya Kiislamu itakuwa inazalisha kilo tisa za urani iliyorutubishwa kwa kiwango cha asilimia 20 kila mwezi.
-
Rais Saleh: Jenerali Suleimani alisimama bega kwa bega na taifa la Iraq
Jan 06, 2021 01:11Rais Barham Saleh wa Iraq amesema Shahidi Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC alisimama bega kwa bega na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika vipindi vyote vya matatizo na misukosuko.