-
Qatar: Mapatano na Saudia hayabadilishi uhusiano wetu na Iran
Jan 07, 2021 23:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema mapatano ya nchi yake na Saudia Arabia pamoja na waitifaki wake hayatabadilisha uhusiano mzuri ulioko baina ya Qatar na nchi zingine ikiwemo Iran.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ushahidi unaonesha kuwa Israel ilimuua shahidi Fakhrizadeh
Jan 06, 2021 12:27Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuna ushahidi wa kutosha na wenye mashiko unaoonesha kuwa utawala haramu wa Israel ulihusika na mauaji ya kigaidi dhidi ya mwanasayansi bingwa wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu, Mohsen Fakhrizadeh.
-
Iran yafanya mazoezi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani
Jan 06, 2021 04:43Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran linafanya mazoezi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani au drone.
-
Iran kuzalisha kilo 9 za urani iliyorutubishwa kwa 20% kwa mwezi
Jan 06, 2021 01:12Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) Ali Akbar Salehi amesema kuanzia sasa Jamhuri ya Kiislamu itakuwa inazalisha kilo tisa za urani iliyorutubishwa kwa kiwango cha asilimia 20 kila mwezi.
-
Rais Saleh: Jenerali Suleimani alisimama bega kwa bega na taifa la Iraq
Jan 06, 2021 01:11Rais Barham Saleh wa Iraq amesema Shahidi Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC alisimama bega kwa bega na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika vipindi vyote vya matatizo na misukosuko.
-
Jumatano, 06 Januari, 2021
Jan 05, 2021 23:15Leo ni Jumatano tarehe 22 Jamadil Awwal 1442 Hijria sawa na tarehe 6 Januari 2021.
-
Jumanne tarehe 5 Januari 2021
Jan 04, 2021 23:15Leo ni Jumanne tarehe 21 Jamadil Awwal 1442 Hijria sawa na Januri 5 mwaka 2021.
-
SAUTI: Warsha ya kumbukumbu ya mauaji ya kigaidi ya Shahidi Suleimani yafanyika Tanzania
Jan 04, 2021 13:33Kitendo cha Wamerekani kumuua Hajj Qasim Suleiman ni cha kigaidi, ijapokuwa kilifanywa na wanajeshi halali wa Marekani kwa amri ya rais wa nchi hiyo anayeondoka Donald Trump.
-
Iran: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi
Jan 04, 2021 12:18Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Tehran inafuatilia kwa jicho la karibu nyendo na harakati za kutilia shaka za Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Iran yaanza kurutubisha urani kwa asilimia 20 katika kituo cha Fordow
Jan 04, 2021 12:16Msemaji wa serikali ya Iran ametangaza rasmi habari ya kuanza kurutubishwa tena madini ya urani kwa kiwango cha asilimia 20 katika kituo cha nyuklia cha Fordow, kilichoko kaskazini mashariki mwa mji wa Qum kusini mwa mji mkuu wa nchi hii, Tehran.