-
Ndege za kivita za Iran zashiriki kwa ufanisi mkubwa katika luteka
Oct 22, 2020 08:56Kamanda wa Kikosi cha la Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ndege za jeshi hilo zinashiriki kwa ufanisi mkubwa katika maneva na luteka ya kijeshi ya pamoja na Walinzi wa Anga ya Velayat-99.
-
Trump arudia ndoto zake za kuzungumza na Iran
Oct 22, 2020 08:55Rais wa Marekani, Donald Trump kwa mara nyingine amerudia ndoto yake ya kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iwapo atashinda urais.
-
Zaidi ya wagonjwa wapya 5,000 wa corona wagunduliwa nchini Iran
Oct 22, 2020 08:54Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran ametangaza habari ya kugunduliwa zaidi ya wagonjwa 5,000 wapya wa ugonjwa wa COVID-19 humu nchini na kufarikia dunia wagonjwa 304 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Zarif: Eneo la Ghuba ya Uajemi lichague ama amani au ukosefu wa uthabiti
Oct 22, 2020 04:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema eneo la Ghuba ya Uajemi sharti likhitari moja kati ya mambo mawili, ama amani au ukosefu wa uthabiti.
-
Iran yakanusha madai ya kuingilia uchaguzi wa Marekani, yasema hauna umuhimu kwake
Oct 22, 2020 04:12Msemaji wa Ofisi ya Iran katika Umoja wa Mataifa amepuuzilia mbali madai kuwa Jamhuri ya Kiislamu inaingilia uchaguzi wa Marekani.
-
Iran: OIC itekeleza majukumu yake kukabiliana na wanaoanzisha uhusiano na Israel
Oct 21, 2020 09:21Mkuu wa Shirika la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu Iran (ICRO) amesema, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inapaswa kutekeleza majukumu yake kuhusiana na Fatuwa ambayo imetolewa na wanazuoni wa Kiislamu kuhusu marufuku ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi
Oct 21, 2020 08:48Eneo la Ghuba ya Uajemi ambalo ni miongoni mwa maeneo ya kistratijia ya dunia na yenye umuhimu mkubwa katika soko la kimataifa la masuala ya uchumi na nishati. Kwa kuzingatia uhakika huo usalama wa eneo hilo muhimu la majini daima umekuwa ukipewa mazingatio makubwa katika taasisi za Umoja wa Mataifa.
-
Spika: Nchi za Kiislamu zisifuate nyayo za Marekani za kuiwekea vikwazo Iran
Oct 20, 2020 04:10Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka serikali za nchi za Kiislamu zisikubali kufuata nyayo za Marekani za kuiwekea vikwazo Iran katika kipindi hiki cha janga la corona.
-
Ulimwengu wa Michezo, Oktoba 19
Oct 19, 2020 06:06Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa....
-
Rouhani: Iran imefelisha njama za Marekani la kuisambaratisha nchi
Oct 18, 2020 23:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui wa Iran walikuwa na mpango maalumu wa kuzusha mifarakano na migongano humu nchnii ili viwazo vyao vipate nguvu zaidi.