Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yaapa kutoa jibu kali kwa chokochoko za kijeshi za Marekani

    Iran yaapa kutoa jibu kali kwa chokochoko za kijeshi za Marekani

    May 13, 2020 23:20

    Iran itatoa jibu kali kwa chokochoko za kijeshi za Marekani baada ya Rais Donald Trump kutumia turufu yake kupinga azimio la Bunge la Kongresi la hatua ya kijeshi isichukuliwe dhidi ya Iran kabla ya idhini ya wabunge.

  • Russia: Hatuitaruhusu Marekani irefushe vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Russia: Hatuitaruhusu Marekani irefushe vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    May 13, 2020 03:48

    Russia imesema itapinga jitihada zozote za Marekani za kutaka muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran uongezwe utakapomalizika mwezi Oktoba mwaka huu.

  • Indhari ya Russia kuhusu kibarua kigumu katika mchakato wa kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Indhari ya Russia kuhusu kibarua kigumu katika mchakato wa kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    May 12, 2020 21:51

    Marekani imekuwa iking’ang’ania kutekeleza siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa" na kuendeleza vikwazo dhidi ya Iran iwe ni vikwazo vya upande mmoja au vikwazo vinavyohusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hususan vikwazo vya silaha.

  • Bunge la Iran lapasisha muswada wa kukabili njama za Israel

    Bunge la Iran lapasisha muswada wa kukabili njama za Israel

    May 12, 2020 10:22

    Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepasisha kwa kauli moja muswada wa dharura wa kukabili njama za utawala wa Kizayuni wa Israel, dhidi ya amani na usalama wa kieneo na kimataifa.

  • Shule za Iran kufunguliwa Mei 16, baada ya kufungwa kwa karibu miezi 3

    Shule za Iran kufunguliwa Mei 16, baada ya kufungwa kwa karibu miezi 3

    May 12, 2020 10:20

    Waziri wa Elimu wa Iran ametangaza kuwa, shule zote za humu nchini zitafunguliwa Mei 16, baada ya kufungwa kwa karibu miezi mitatu tokea mwishoni mwa Februari mwaka huu kutokana na mripuko wa virusi vya corona.

  • Iran: Hakuna mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Marekani

    Iran: Hakuna mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Marekani

    May 12, 2020 03:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, hakuna mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Marekani kwa sababu Washington haiwezi kuaminika kwa mazungumzo inayofanya.

  • Madai ya kipuuzi ya Mike Pompeo kuhusu mafanikio Marekani baada ya kujitoa katika mapatano ya JCPOA

    Madai ya kipuuzi ya Mike Pompeo kuhusu mafanikio Marekani baada ya kujitoa katika mapatano ya JCPOA

    May 11, 2020 02:31

    Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuyakosoa vikali mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA, Mei 8 mwaka 2018 alichukua uamuzi wa upande mmoja wa kuiondoa nchi yake katika makubaliano hayo.

  • Waziri Mkuu wa Iraq apongeza uungaji mkono wa Iran katika vita dhidi ya ISIS

    Waziri Mkuu wa Iraq apongeza uungaji mkono wa Iran katika vita dhidi ya ISIS

    May 10, 2020 19:53

    Waziri Mkuu mpya wa Iraq ameipongeza na kuishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada na uungaji mkono wake katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).

  • Russia: Marekani ilifanya kosa la kistratijia kujiondoa JCPOA

    Russia: Marekani ilifanya kosa la kistratijia kujiondoa JCPOA

    May 09, 2020 23:42

    Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa viongozi wa Marekani hawana uwezo wa kuandaa mazingira ya kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran.

  • Waliopona ugonjwa wa Covid-19 nchini Iran ni zaidi ya 85,000

    Waliopona ugonjwa wa Covid-19 nchini Iran ni zaidi ya 85,000

    May 09, 2020 08:06

    Wizara ya Afya, Matibabu na Mafunzo ya Tiba ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa waathiriwa zaidi ya 85 elfu wa ugonjwa wa COVID-19 au corona humu nchini wamepata afueni na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS