-
Ulimwengu wa Spoti, Nov 4
Nov 04, 2019 04:34Hujambo mpenzi msikilizaji natumai huna neno, karibu tututupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa…….
-
Taarifa ya pamoja ya Kansela wa Ujerumani na Waziri Mkuu wa India kuhusu makubaliano ya JCPOA
Nov 03, 2019 04:21Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalikuwa natija ya juhudi za kidiplomasia na mazungumzo ya awamu kadhaa kati ya Iran na kundi la 5+1; hivi sasa yanakabiliwa na hatari kubwa kufuatia hatua ya Marekani ya kujitoa kwenye makubaliano hayo na kutotekeleza ahadi nchi za Ulaya; hatua iliyokabiliwa na radiamali kali ya Iran ambayo pia imeamua kupunguza hatua kwa hatua uwajibikaji wake ndani ya makubaliano hayo.
-
SEPAH: Watu milioni 8.5 wameuawa kutokana na uingiliaji mambo wa Marekani
Nov 02, 2019 09:13Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema watu zaidi ya milioni nane na laki tano wameuawa kutokana na uingiliaji wa mambo wa Marekani wa moja kwa moja na usio wa moja kwa moja katika eneo na katika ulimwengu wa Kiislamu, ndani ya miaka 40 iliyopita.
-
Vikwazo vipya vya Marekani na waitifaki wake wa eneo dhidi ya Iran na makundi ya muqawama
Oct 31, 2019 21:40Sera za serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ni kuendelea kushadidisha mashinikizo dhidi ya Iran katika fremu ya 'mashinikizo ya juu kabisa' kwa kushirikiana na waitifaki wake. Kwa msingi huo Trump sasa anajaribu pia kuyawekea vikwazo makundi ya muqawama au mapambano ya Kiislamu katika eneo.
-
IRGC: Uvamizi wowote dhidi ya Iran utakabiliwa na jibu kali
Oct 31, 2019 10:38Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema jaribio lolote la maadui la kujaribu kuvamia ardhi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran litapokea jibu kali.
-
Iran na Uturuki; washirika wawili wa kuaminiana katika wakati mgumu
Oct 31, 2019 06:56Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki, kama nchi mbili jirani zina kiwango kizuri cha uhusiano katika nyuga mbali mbali hasa za kiuchumi na katika uga wa kieneo pia ni nchi mbili athirifu.
-
Ukosoaji mkali wa Human Rights Watch kwa Marekani kutokana na vikwazo vyake dhidi ya Iran
Oct 30, 2019 10:10Baada ya kujitoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump ya Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya mapatano hayo bali hata iliongeza vikwazo vingine vingi na kujigamba kuwa imeiwekea Iran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa ambavyo havijawahi kuwekewa nchi yoyote ile duniani.
-
Mousavi: Iraq na Syria ziliisambaratisha kitambo ISIS kwa msaada wa Iran
Oct 28, 2019 08:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) lilisambaratishwa na Iraq na Syria muda mrefu umepita, kwa msaada wa kilojistiki wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 28
Oct 28, 2019 03:16Karibu mpenzi msikilizaji katika dakika hiki chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri viwanjani ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kitaifa…..
-
Bloomberg: Vikwazo vya Marekani vimefali, uchumi wa Iran unaimarika
Oct 26, 2019 23:09Jarida la kimataifa la biashara la Bloomberg limethibitisha kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimefeli na kwamba uchumi wa nchi hii karibuni utaanza kuimarika.