Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Saudia iliiomba Uingereza iishambulie kijeshi Iran, baada ya Marekani kukwepa kufanya hivyo

    Saudia iliiomba Uingereza iishambulie kijeshi Iran, baada ya Marekani kukwepa kufanya hivyo

    Jun 22, 2019 08:34

    Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Saudi Arabia aliiomba serikali ya Uingereza ishambulie kambi na vituo vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, masaa machache baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuwa amesitisha kile alichokitaja kama shambulizi la ulipizaji kisasi la Washington dhidi ya Tehran.

  • Russia yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Russia yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 22, 2019 08:16

    Vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran ni vikwazo vilivyo kinyume cha sheria na vinavyokinzana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA. Nchi za kundi la 4+1 limelaani vikwazo hivyo dhidi ya Iran.

  • Iran: Hatukaribishi vita lakini tuko tayari kujihami kwa nguvu zote

    Iran: Hatukaribishi vita lakini tuko tayari kujihami kwa nguvu zote

    Jun 22, 2019 07:40

    Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, majeshi na wananchi wa Iran hawataki vita lakini daima wako imara kuihami na kuilinda nchi yao.

  • UN haijaafiki madai ya Marekani kuhusu drone yake iliyoangushwa na Iran

    UN haijaafiki madai ya Marekani kuhusu drone yake iliyoangushwa na Iran

    Jun 22, 2019 03:20

    Umoja wa Mataifa umejibu madai ya wakuu wa Marekani kuwa drone yao ya kijasusi iliyoangushwa na Iran iliangushwa katika maji ya kimataifa katika Ghuba ya Uajemi.

  • Jibu Kali la Iran dhidi ya uchokozi wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Jibu Kali la Iran dhidi ya uchokozi wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Jun 22, 2019 03:13

    Kulinda mipaka ya nchi kavu, majini na angani ni haki ya kila nchi na hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kutungua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyoingia katika anga yake kusini mwa nchi imeonesha tena kwamba Iran haitazembea hata kidogo katika kulinda mipaka yake.

  • Iran inashirikiana kiuchumi na zaidi ya nchi 70 duniani

    Iran inashirikiana kiuchumi na zaidi ya nchi 70 duniani

    Jun 22, 2019 02:52

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina ushirikiano wa karibu wa kiuchumi na zaidi ya nchi 70 duniani.

  • Jumamosi tarehe 22 Juni, 2019

    Jumamosi tarehe 22 Juni, 2019

    Jun 21, 2019 22:16

    Leo ni Jumamosi tarehe 18 Shawwal 1440 Hijria sana na Juni 22 mwaka 2019.

  • Russia: Iran inapambana vilivyo na vitendo vya kigaidi

    Russia: Iran inapambana vilivyo na vitendo vya kigaidi

    Jun 21, 2019 05:20

    Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ameunga mkono kuweko washauri wa kijeshi wa Iran nchini Syria na kusisitiza kuwa, washauri hao wa kijeshi wako nchini humo kwa mwaliko rasmi wa serikali ya Damascus.

  • Russia yakosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya Iran

    Russia yakosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya Iran

    Jun 21, 2019 04:48

    Baada ya kujitoa kinyume cha sheria katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani imekuwa ikitekeleza siasa za 'mashinikizo ya juu zaidi' dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Wajumbe wa Kongresi ya Marekani wamuonya Trump juu ya chokochoko zozote dhidi ya Iran

    Wajumbe wa Kongresi ya Marekani wamuonya Trump juu ya chokochoko zozote dhidi ya Iran

    Jun 21, 2019 03:24

    Wawakilishi wanne wa Bunge la Kongresi nchini Marekani wamemuonya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuchukua hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran kufuatia kutunguliwa na jeshi la Iran ndege yake ya ujasusi Alkhamisi ya jana, baada ya rais huyo kutoa radiamali kuhusiana na kadhia hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS