Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Nukta nne muhimu za kushindwa vikao vya Makka

    Nukta nne muhimu za kushindwa vikao vya Makka

    Jun 05, 2019 07:58

    Katika hali ambayo siku nne zimepita tokea kufanyika vikao vya Makka lakini bado matokeo mabaya na hata yaliyo kinyume na matarajio ya waandaaji wa vikao hivyo yangali yanaendelea kuakisiwa kieneo na kimataifa.

  • Iran yaliasa jeshi la Sudan likabidhi madaraka kwa raia

    Iran yaliasa jeshi la Sudan likabidhi madaraka kwa raia

    Jun 04, 2019 09:05

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kueleza kusikitishwa kwake na machafuko ya kisiasa nchini Sudan, imetoa mwito kwa Baraza la Mpito la Kijeshi kukabidhi madaraka kwa raia kama wanayoshinikiza wananachi wanaoandamana kwa miezi kadhaa sasa.

  • Iran na Korea Kusini zasisitizia kutatua matatizo ya kibenki kati yao

    Iran na Korea Kusini zasisitizia kutatua matatizo ya kibenki kati yao

    Jun 04, 2019 08:38

    Waziri wa Uchumi wa Korea Kusini amekutana na Gavana wa Benki Kuu ya Iran na kusisitizia umuhimu wa kuzidishwa uhusiano wa pande mbili na kufanya jitihada zaidi kwa ajili ya kutatua matatizo ya kibenki.

  • Iran yaionya Saudi Arabia kutokana na chokochoko zake dhidi ya Tehran

    Iran yaionya Saudi Arabia kutokana na chokochoko zake dhidi ya Tehran

    Jun 04, 2019 02:39

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa ameionya Saudi Arabia iache kushirikiana na Marekani katika chokochoko zake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran inatazamia kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr Jumatano ya Juni 5

    Iran inatazamia kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr Jumatano ya Juni 5

    Jun 03, 2019 06:18

    Wananchi Waislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanatazamiwa kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr siku ya Jumatano, Juni 5.

  • IRGC: Kwa uwezo wake mkubwa, Iran itapita kipini cha vitisho na vikwazo

    IRGC: Kwa uwezo wake mkubwa, Iran itapita kipini cha vitisho na vikwazo

    Jun 03, 2019 06:10

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa taarifa na kusema: "Mapambano au muqawama na kusimama kidete taifa la Iran ni nukta ambazo zitavunja njama za adui."

  • Iran yaonya kuhusu matokeo mabaya ya ugaidi wa kiuchumi wa Marekani

    Iran yaonya kuhusu matokeo mabaya ya ugaidi wa kiuchumi wa Marekani

    Jun 03, 2019 06:06

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amevitaja vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya taifa hili kama 'ugaidi wa kiuchumi', huku akitahadharisha kuhusu taathira hasi iwapo Washington itaendelea kung'ang'ania mkondo wake huo wa kuwashinikiza Wairani.

  • Uchaguzi wa Rais Algeria uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 4 waakhirishwa

    Uchaguzi wa Rais Algeria uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 4 waakhirishwa

    Jun 02, 2019 22:58

    Baraza la kikatiba nchini Algeria limetangaza kuakhirisha uchaguzi wa rais ambao ulikuwa umepangwa kufanyika Julai 4 na kusema sababu ya uamuzi huo ni ukosefu wa wagombea. Uamuzi huo utapelekea kuongezeka muda wa mpito wa kisiasa jambo ambalo yamkini likaibua hasira zaidi za waandamanaji.

  • China yajibu vitisho vya Marekani vya kuitaka Hong Kong izizuie meli za mafuta za Iran

    China yajibu vitisho vya Marekani vya kuitaka Hong Kong izizuie meli za mafuta za Iran

    Jun 02, 2019 02:28

    Serikali ya China imetupilia mbali vitisho vya Marekani vya kuitaka kuziwekea vikwazo meli za mafuta za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zisitie nanga na kutoa huduma zake katika bandari ya Hong Kong.

  • Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq: Kuna baadhi hawaoni mambo mema ya Iran

    Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq: Kuna baadhi hawaoni mambo mema ya Iran

    Jun 01, 2019 22:06

    Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq, Nouri al-Maliki amesema kuwa, baadhi ya viongozi wa nchi za Kiarabu ni wakaidi kupindukia na wanajifanya hawaoni nafasi muhimu na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kadhia ya Palestina na kupigania kwake usalama wa mataifa ya eneo hili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS