-
Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu ni ya wafuasi wa madhehebu na dini zote za Iran
May 14, 2019 03:28Rais Hassan Rouhani amesema Mapinduzi ya Kiislamu sio ya wafuasi wa dini au madhehebu moja tu, bali ni ya watu wa dini na madhehebu zote za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Uingiliaji wa Marekani ni chanzo za vurugu na ukosefu wa usalama katika eneo
May 13, 2019 23:48Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, amesisitiza kuhusu ulazima wa kusimama kidete kukabiliana na utumiaji mabavu na sera za maamuzi ya upande mmoja za Marekani duniani.
-
Rouhani: Umoja wa Wairani utayashinda mashinikizo ya kila upande ya Marekani
May 12, 2019 03:13Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema umoja na mshikamano wa wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu kwa mara nyingine utatoa pigo kwa vikwazo vya kiuchumi na mashinikizo ya kila upande ya Marekani dhidi ya taifa hili.
-
ECFR yaitaka Marekani iangalie upya sera zake haribifu dhidi ya JCPOA
May 12, 2019 02:29Baraza la Uhusiano wa Kigeni la Ulaya ECFR limeitaka Marekani iangalie upya sera zake haribifu na za kiuhasama dhidi ya makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama JCPOA.
-
Jumapili, Mei 12, 2019
May 11, 2019 22:09Leo ni Jumapili tarehe 6 Ramadhan 1440 Hijria, mwafaka na tarehe 12 Mei 2019 Miladia.
-
Uingereza, Ujerumani: Ulaya inafanya juhudi za kutekeleza mfumo wa INSTEX
May 11, 2019 03:26Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimesema zinafanya juu chini kuhakikisha kuwa mfumo maalumu wa kifedha wa Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (INSTEX) unaanza kufanya kazi.
-
Taarifa ya Ulaya kuhusu hatua ya Iran; ulazima wa kutekelezwa ahadi badala ya kudhihirishwa masikitiko
May 10, 2019 21:46Baada ya Marekani kutangaza kujitoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia, JCPOA, mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilitaraji kwamba kundi la 4+1 na hasa troika ya Ulaya na Umoja wa Ulaya, lingechukua hatua za kupunguza madhara ya Marekani kuanza kutekeleza tena vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran.
-
Jumamosi, 11 Mei, 2019
May 10, 2019 21:44Leo ni Jumamosi tarehe 5 ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1440 Hijria sawa na tarehe 11 Mei 2019 Miladia.
-
Wairan waandamana nchi nzima kuunga mkono hatua za nchi yao kuhusu mapatano ya JCPOA
May 10, 2019 09:00Wananchi wa Iran ya Kiislamu leo Ijumaa wameandamana nchi nzima kuunga mkono hatua zilizochukuliwa humu nchini za kusimamisha utekelezaji wa baadhi ya ahadi za Tehran katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Siasa za kimaonyesho za Trump za kuitaka Iran ifanye mazungumzo naye
May 10, 2019 08:43Katika kipindi cha masaa 24 tokea Iran itangaze rasmi kwamba itapunguza ushirikiano wake na pande husika katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, rais wa Marekani ameitaka Iran mara tatu, ifanye mazungumzo naye.