Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Jumanne, tarehe 12 Machi, 2019

    Jumanne, tarehe 12 Machi, 2019

    Mar 11, 2019 23:15

    Leo ni Jumanne tarehe 5 Rajab 1440 Hijria sawa na tarehe 12 Machi 2019.

  • Ulimwengu wa Spoti, Machi 11

    Ulimwengu wa Spoti, Machi 11

    Mar 11, 2019 03:54

    Hujambo mpenzi msikilizaji na haswa mfuatiliaji wa masuala ya spoti na karibu katika dakika hizi chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.

  • Zarif: Kinyume na Saudia, Iran haitaki mvutano na upande wowote

    Zarif: Kinyume na Saudia, Iran haitaki mvutano na upande wowote

    Mar 10, 2019 23:43

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitaki kuwa na mvutano na nchi yoyote ile ikiwemo Saudi Arabia.

  • Zarif: Uhusiano wa Iran na Iraq ni wa kihistoria, Marekani haiwezi kuaminika

    Zarif: Uhusiano wa Iran na Iraq ni wa kihistoria, Marekani haiwezi kuaminika

    Mar 10, 2019 03:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, Marekani inaishinikiza Iraq ikate uhusiano wake na Iran lakini katu wakuu wa Washington hawatafanikiwa katika hilo.

  • Kamati ya Pamoja ya Iran na Afrika Kusini; kikao kwa ajili ya mashauriano ya kisiasa na kiuchumi

    Kamati ya Pamoja ya Iran na Afrika Kusini; kikao kwa ajili ya mashauriano ya kisiasa na kiuchumi

    Mar 09, 2019 08:17

    Kamati ya Tisa ya Kisiasa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini imefanya kikao nchini Afrika Kusini na kuhudhuriwa na Sayyid Abbas Araqchi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Bi Reginah Mhaule, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Anayehusika na Masuala ya Ushirikiano na Uhusiano wa Kimataifa.

  • Brigedia Jenerali Momeni: Iran imekamata tani 806 za mihadarati mwaka 2018

    Brigedia Jenerali Momeni: Iran imekamata tani 806 za mihadarati mwaka 2018

    Mar 09, 2019 03:41

    Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Mihadarati nchini Iran amesema kuwa, mwaka 2018 Tehran ilikamata tani 806 za madawa ya kulevya.

  • Mwenendo wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran; kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu

    Mwenendo wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran; kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu

    Mar 08, 2019 11:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif ameichapisha tena barua ya wanasayansi 66 wa tiba wa Iran kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kuitaka jamii ya kimataifa ilaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran hususan katika sekta ya utabibu.

  • Afrika Kusini ina hamu ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Iran

    Afrika Kusini ina hamu ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Iran

    Mar 08, 2019 04:32

    Spika wa Bunge la Kitaifa la Afrika Kusini ameeleza juu ya utayarifu wa nchi yake wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran: Taarifa ya kikao cha Arab League haina maana wala itibari

    Iran: Taarifa ya kikao cha Arab League haina maana wala itibari

    Mar 08, 2019 04:21

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema taarifa ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ni ya kipuuzi, isiyo na itibari na ambayo ni chachu ya fitina na migawanyiko katika eneo.

  • Ijumaa, tarehe 8 Machi, 2019

    Ijumaa, tarehe 8 Machi, 2019

    Mar 07, 2019 22:53

    Leo ni Ijumaa tarehe Mosi Rajab 1440 Hijria, sawa na Machi 8, 2019.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS