-
Iran: Usalama hupatikana kwa kupendana si kwa ubeberu
Mar 01, 2019 23:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, fikra ya kibeberu na kutumia silaha haribifu inapaswa kuondoka na mahala pake pachukuliwe na fikra ya mazungumzo na kuishi pamoja kwa usalama na kupendana.
-
Pakistan yaiomba Iran ipatanishe mzozo kati yake na India
Mar 01, 2019 23:18Ubalozi wa Pakistan mjini Tehran umeiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran itumie ushawishi wake kusaidia utatuzi wa amani wa mzozo uliozuka baina ya nchi yake na India.
-
Sisitizo la Qatar juu ya udharura wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi kuwa na maelewano na Iran
Mar 01, 2019 04:22Muhammad bin Abdulrahman bin Jassim Aal Thani Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amezitaka nchi za Kiarabu za Ukanda wa Ghuba ya Uajemi kuwa na maelewano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa, nchi hizo zinahitajia kuwa na maelewano na Tehran.
-
Zarif: Amani haiwezi kupatikana kwa kutumia sera za mabavu
Feb 28, 2019 12:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa fikra zinazotokana na mitazamo ya kibeberu na utumiaji wa silaha zenye uharibifu zinapaswa kubadilishwa na kuwa fikra ya mazungumzo na maelewano.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu ulazima wa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na Armenia
Feb 28, 2019 11:20Katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Armenia ni majirani wema na wenye uhusiano wa kihistoria.
-
Kamanda Soleimani: Kukutana Rais Assad wa Syria na Kiongozi Muadhamu wa Iran, ilikuwa sherehe ya ushindi
Feb 28, 2019 00:58Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, Qasem Soleimani amesema kuwa kukutana Rais Bashar al Assad wa Syria na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, ilikuwa sherehe ya ushindi wa vita vya Syria.
-
Wabunge wa Iran wakusanya sahihi kumsihi Zarif asijiuzulu
Feb 27, 2019 04:30Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wameanza kukusanya sahihi kwa shabaha ya kumuomba Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran aghairi msimamo wake wa kujiuzulu.
-
Qatar: Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lifikie mwafaka na Iran
Feb 26, 2019 11:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani amewataka wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (PGCC) kufikia mwafaka na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rouhani: Iran itasaidia kuijenga upya Syria na kuirejeshea utulivu
Feb 26, 2019 04:19Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kushiriki katika utekelezaji wa mipango itakayoainishwa na serikali ya Syria katika kuijenga upya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ulimwengu wa Spoti, Feb 25
Feb 25, 2019 03:56Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa...