Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran kutuma misaada Venezuela

    Iran kutuma misaada Venezuela

    Feb 25, 2019 00:50

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kutuma msaada wa dawa na vifaa vya kitiba Venezuela, nchi ambayo imekuwa ikikabiliwa na njama za mababeru wakiongozwa na Marekani ambao wanataka kuipindua serikali ya Rais Nicolas Maduro.

  • Iran na Uganda zasisitiza kustawisha uhusiano wao wa pande mbili

    Iran na Uganda zasisitiza kustawisha uhusiano wao wa pande mbili

    Feb 23, 2019 12:17

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uganda na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo wamesisitiza kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbali mbali.

  • Uwezo wa Iran wa kujihami na kumzuia adui; chanzo cha uthabiti na usalama

    Uwezo wa Iran wa kujihami na kumzuia adui; chanzo cha uthabiti na usalama

    Feb 23, 2019 04:11

    Vikosi vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinadhibiti kikamilifu hali ya mambo na viko tayari kukabiliana na vitisho katika eneo.

  • Iran yalaani shambulizi la Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa

    Iran yalaani shambulizi la Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa

    Feb 22, 2019 11:06

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali hujuma iliyofanywa na Wazayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa na maeneo mengine ya kihistoria na Kiislamu huko Baitul Muqaddas.

  • Khumalo: Afrika Kusini inafuatilia kupanuliwa mabadilishano ya kibiashara kati yake na Iran

    Khumalo: Afrika Kusini inafuatilia kupanuliwa mabadilishano ya kibiashara kati yake na Iran

    Feb 22, 2019 04:33

    Balozi wa Afrika Kusini hapa mjini Tehran amesema kuwa, kuna uwezo mkubwa mno katika sekta mbalimbali nchini Iran hususan katika uga wa madini, utalii na teknolojia ya mawasiliano na kwamba, nchi yake inaweza kuyatumia hayo kwa ajili ya kupanua zaidi ushirikiano kati yake na Iran.

  • Afrika Kusini: Kujiondoa Marekani JCPOA hakuathiri uhusiano wetu na Iran

    Afrika Kusini: Kujiondoa Marekani JCPOA hakuathiri uhusiano wetu na Iran

    Feb 21, 2019 12:12

    Balozi wa Afrika Kusini mjini Tehran amesema hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA haitapunguza ushirikiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga za uchumi, biashara na utamaduni.

  • Iran na China, washirika wa kistratijia barani Asia

    Iran na China, washirika wa kistratijia barani Asia

    Feb 21, 2019 03:31

    Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran (Bunge) na Rais wa China wamesisitiza udharura wa kupanuliwa zaidi ushirikiano wa kistratijia wa nchi hizo mbili.

  • Iraq: Tutaendeleza zaidi uhusiano mwema na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Iraq: Tutaendeleza zaidi uhusiano mwema na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Feb 21, 2019 01:10

    Mshauri wa Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, licha ya vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Baghdad itaendeleza uhusiano wake na Iran ikiwemo sekta ya nishati.

  • IRGC: Saudia ndiyo roho ya maovu yote Mashariki ya Kati

    IRGC: Saudia ndiyo roho ya maovu yote Mashariki ya Kati

    Feb 19, 2019 12:22

    Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema Saudi Arabia ndiyo roho ya maovu yote katika eneo la Mashariki ya Kati na duniani kote kwa ujumla.

  • Iran yatuma salamu za rambirambi kwa familia za waliopoteza maisha katika ajali mgodini Zimbabwe

    Iran yatuma salamu za rambirambi kwa familia za waliopoteza maisha katika ajali mgodini Zimbabwe

    Feb 19, 2019 04:18

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma salama za rambirambi na kutoa mkono wa pole kwa serikali, wananchi na familia za wahanga wa ajali ya mgodini huko Zimbabwe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS