-
Kongamano la Warsaw halitaweza kupunguza nguvu za Iran
Feb 12, 2019 10:13Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kongamano dhidi ya Iran ambalo linaandaliwa kwa pamoja na Marekani pamoja na Poland mjini Warsaw halitaweza kupunguza nguvu za Jamhuri ya Kiislamu au kubadilisha sera zake.
-
Russia: Mpango wa makombora wa Iran haukiuki sheria za kimataifa
Feb 12, 2019 00:59Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kuwa Iran ina haki ya kujilinda, na mpango wake wa makombora haukiuki sheria za kimataifa.
-
CNN: Iran haioneshi kuwa na muelekeo wa kusalimu amri mbele ya Marekani
Feb 11, 2019 10:53Kanali ya televisheni ya CNN ya Marekani ambayo imeyaakisi maandamano ya leo ya Bahman 22 (Februari 11) ya mjini Tehran ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, imeeleza katika ripoti yake kuwa, Iran haioneshi kuwa na muelekeo wa kusalimu amri mbele ya Marekani.
-
Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2019 04:36Mamilioni ya wananchi Waislamu wa Iran wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Meja Jenerali Baqeri: Maadui wanaeneza chuki dhidi ya Iran ili wapate soko la silaha zao Mashariki ya Kati
Feb 11, 2019 00:00Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema maadui wa Jamhuri ya Kiislamu wameshadidisha jitihada zao za kueneza chuki dhidi Iran (Iranophobia) wakiwa na tamaa na lengo la kusaini mauzo ya silaha zao na nchi za eneo la Mashariki ya Kati.
-
Mfalme wa Oman atuma ujumbe wa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 10, 2019 23:18Mfalme wa Oman Qaboos bin Said amemtumia ujumbe wa pongezi Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Zarif: Mkutano wa Marekani dhidi ya Iran umefeli hata kabla haujaanza
Feb 10, 2019 10:42Waziri wa Mambo ye Nje wa Iran amesema mkutano wa Marekani unaotazamiwa kufanyika nchini Poland katika siku chache zijazo na ulio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umefeli hata kabla haujaanza.
-
Ulimwengu wa Michezo, Feb 10
Feb 10, 2019 03:44Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.
-
Maher Hamoud: Katika miaka 40 iliyopita Palestina imekuwa kadhia muhimu kwa Iran
Feb 09, 2019 21:46Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Muqawama amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka 40 iliyopita Iran imeheshimu na kushikamana na misingi yake ya thamani ikiwemo kuiunga mkono Palestina.
-
Iran yasisitiza udharura wa kuwa na uhusiano mwema na nchi zote duniani
Feb 09, 2019 13:44Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kislamu ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 40 wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini na kusisitiza kuwa: Kuwa na uhusiano wa heshima, wa amani na wa pande kadhaa na nchi za dunia ni miongoni mwa stratijia za Iran.