-
Amiri Jeshi Mkuu: Jizatitini muwafanye maadui wasithubutu hata kutoa vitisho dhidi ya taifa la Iran
Nov 28, 2018 13:07Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi Ayatullah Sayyed Ali Khamenei leo amekutana na makamanda na wakuu wa jeshi la wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mnasaba wa Siku ya Jeshi la Wanamaji.
-
Iran na EU zasisitizia haja ya kuendelea kufungamana na JCPOA
Nov 28, 2018 04:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya kwa mara nyingine tena zimesema kuwa pande mbili hizo zitaendelea kuheshimu na kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya Vienna, licha ya Marekani kujiondoa kwenye mapatano hayo ya kimataifa.
-
Maonyesho ya Ndege yafanyika Kish, Iran
Nov 27, 2018 21:43Maonyesho ya 9 ya Ndege ya Iran yanaendelea katika kisiwa cha Kish kusini mwa Iran katika Ghuba ya Uajemi licha ya vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-14
Nov 27, 2018 11:53Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 14 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-13
Nov 27, 2018 11:51Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 13 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-11
Nov 27, 2018 11:47Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 11 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-12
Nov 27, 2018 11:41Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 12 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-10
Nov 27, 2018 11:37Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 10 ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-9
Nov 27, 2018 11:33Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tisa ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Iran imejitosheleza katika sekta ya kujihami majini
Nov 27, 2018 11:29Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema leo kwamba nchi hii imejitosheleza katika sekta ya kujihami majini ikiwa ni pamoja na kujitegeneza zana za juu na chini ya maji.